Ni jambo la aibu kukatwa wakati unafanya malipo kwa LIPA ya vodacom wakati MASTERPASS ni bure kabisa.
Sijui vodacom mlifikiria vizuri hasa wakati huu ambao tunaenda kuondokana na hela za kushikika nakuingia kwenye electronics money.
Fikirieni mara mbili