Mimi napenda sana mwanamke anayejipamba duh! wakwangu mbona hizo nguo na glass pamoja na kujipaka karibia muda wote ipo sijawahi lipishwa kwenye shopping yeyote eti kachafua nguo! huyo wako sijui umemtoa wapi? Oooh Wife! come here babe mpe mke wa jamaa namna ya kupaka ili asiingie gharama huko shopping maana nahisi kaibuka na mtoto alie kosa kitchen part! Busu la wife akinipiga anasafiri huwa naweka plaster alama isifutike duh! kweli tunadiffer?Msichana anapaka lip stick kama anapaka nyumba rangi,rangi sijui nyekunduu,ya njano,ya bluu,ya kijani,yaani hadi kero,akikukiss anakuachia mirangi yake,dukani nako wanamlalamikia,akijaribisha nguo ili anunue anaziachia lipstick yake,machoni nako kapaka sijui mirangi gani,hadi wengine kama mimi tunaona kinyaa.
Alafu anakatiza mitaa akiamini hapo ndo mwake,akinywa maji kwa glass tayari lipstick
julius mwambie coz naona mkewe sio mstarabu kabisaaaaaaaaaa
Zinaitwaje tena idho original??Mh huyo wako unayemzungumzia huwa anapaka lipstic za kichina au niseme feki zile za bei rahisi. Mwambie atafute zile original ambazo hazitoki mdomoni ovyo,akipaka asubuh inakaa mpaka jioni na wala haijikusanyi ovyo mdomoni anapoongea.
Zinaitwaje tena idho original??
urembo huo!!!! kama we hupendi wenzio wanapenda...