Lionel Messi ni wakati wa kupewa jina analostahili


Teh teh teh

Haijalishi mkuu,ingekuwa ni vyema zaidi tu kama ningemuona na kwingineko ndio nipime vizuri ubora wake
 
Wewe uliyeleta mada hii na mwandishi wake, naweza kusema au nasema hii ndiyo makala bora ya mwaka.

Messi hafananishwi na mchezaji yeyote duniani!
 

Mafans wa Ronaldo mna tabu sana 😀...kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa King Messi akienda kwenye ligi ingine hawezi kuwika!!!? Mtu huyo huyo anazifunga tim zote bora zinazotoka kwenye hizo ligi ambazo unawaza kichwani mwako kuwa hawezi kuwika kwenye ligi hizo. Dah yani upofu mwingine wa ajabu sana 🤗🤗 hapa duniani hakuna ligi unayoijuwa wewe ambayo King akienda kucheza hawezi shine kama alivyo pale spain sema ni mambo tu ya kibiashara muajiri wake hataki kumuachia na anachokitaka mwenyewe anatimiziwa na pia yeye mwenyewe kuwa royal kwa tim yake...King si wa kawaida kamanda....msiwe mnapenda kumfananisha na wendawazimu. Sawa kamanda! Usiku mwema!
 
Hahahaaaa aya bhana barca 1-1 Tottenham....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…