Basi itakuwa ndiyo salama yake. Lakini ujumbe wao kwa wakwepa kodi umefika
source ya habari yako,? weka na link kama inawezekanaSasa hapo itakuwa mtihani kwa Barca.
source ya habari yako,? weka na link kama inawezekana
Naona hii ligha uliyotumia ndio inafanya huu uzi ukose wachangiajiArgentina and Barcelona footballer Lionel Messi has been sentenced to 21 months in prison for tax fraud, Spanish media say.
His father, Jorge Messi, was also given a jail term for defrauding Spain of €4.1m (£3.2m; $4.6m) between 2007 and 2009.
During the trial, prosecutors said tax havens in Belize and Uruguay were used to conceal earnings from image rights.
But Lionel Messi said he "knew nothing" about his financial affairs.
saying he was "playing football"
kumbe masherano aliepuka jela kwa kulipa faini!, mm nilidhani anasubiri muda muafaka kuswekwa.Nadhani atalipa fine kama mascherano vile
Naam mkuu alilipa faini $625,000kumbe masherano aliepuka jela kwa kulipa faini!, mm nilidhani anasubiri muda muafaka kuswekwa.
Hii mambo hii nadhani inakuja kwetu-JPM kachachamaa sana. na hili la mesi atatolea mfano tu akipanda jukwaani next time
Tunakula kwanza, tutakuja.Naona hii ligha uliyotumia ndio inafanya huu uzi ukose wachangiaji
Hatainda ?Hahaa lugha gongana sio! Japo najua hatainda gerezani
Sio lugha aliyoitumia.... ni hii lugha waliyotumia. Huyu mtanzania mwenzetu amekopi na kupesti tu....Naona hii ligha uliyotumia ndio inafanya huu uzi ukose wachangiaji