Lionel Messi jela miezi 21 kwa kukwepa kodi

Taxesi naye kama mtt mdogo eti ye alikuwa haelewi ni kias gani kinatakiwa kulipwa baba ake ndo ali jua

Duuh
 
Inaelekea wamempa hiyo hukumu makusudi ili atumikie kifungo cha nje.
 
Safi sana , sheria ni msumeno , hapa bongo Msemaji tu ( yaani mc tu kama wa kwenye harusi ) wa yanga anaweza akafanya lolote na asikamatwe .
 
Hapa kwetu mtu mwenye pesa na mtu maarufu huwa hawafugwi sijuwi Kwa utawala huu John pombe magufuli
Sio hapa tu, hata adhabu aliyopewa messi ni ya kiupendeleo sana ili asiende jela.

100% messi haendi jela atalipa hyo faini na kifungo cha nje, maisha yataendelea kama kawa
 
Barcelona superstar Lionel Messi has been given a 21-month jail sentence for tax evasion - but is unlikely to go to prison.

Lionel Messi gets 21-month sentence for tax evasion but set to avoid prison

Messi amehukumiwa miezi 21 kwa kukwepa kodi nchini Spain.
≠=============

Argentina and Barcelona footballer Lionel Messi has been sentenced to 21 months in prison for tax fraud, Spanish media say.

His father, Jorge Messi, was also given a jail term for defrauding Spain of €4.1m (£3.5m; $4.5m) between 2007 and 2009.

They also face millions of euros in fines for using tax havens in Belize and Uruguay used to conceal earnings from image rights.

However, they are likely to avoid jail.

Under the Spanish system, prison terms under two years can be served under probation.

Source: BBC
View attachment 363539
 
Barcelona, Hispania
Mshambuliaji wa Argentina na Barcelona, Lionel Messi amehukumiwa kifungo cha miezi 21 jela kutokana na kukwepa kulipa kodi, vyombo vya habari vya Hispania vimeripoti.

Baba yake, Jorge Messi, pia amehukumiwa kifungo kwa kukwepa kulipa kodi inayokadiriwa kufikia Euro 4.1 milioni kwa kipindi cha kuanzia 2007 hadi 2009.

Pia, wawili hao watakumbanana na faini ya mamilioni ya Euro kwa kutumia njia za ulipaji wa kodi wa Belize na Uruguay, ambako kuna kiwango cha chini, zilizokuwa na lengo la kujipatia kipato cha haki za picha zake (Messi).

Hata hivyo, Messi mwenye tuzo tano za mchezaji bora wa dunia wa Fifa na baba yake wanaweza kukwepa maisha ya jela.
Kwa mujibu wa sheria za Hispania, kipengele cha kwenda jela chini ya miaka miwili kinaweza kutumikiwa kwa makubaliano maalumu.
Mshambuliaji huyo wa Barca na baba yake walikutwa na hatia ya makosa matatu katika kodi wakati wa hukumu ya jana katika Mahakama ya Barcelona.

Wakati wa kusikilizwa kwa kesi hiyo, Lionel Messi alisema kwamba 'hajui chochote' juu ya usimamizi wa fedha zake, akidai kuwa kazi yake ni 'kucheza

Chanzo:Mwananchi online
 
Wewe muongo kwa sheria za spain Kifugo ambacho ni less than 24 month unafungwa kifungo cha nje. Huo uongo umeutoa wapi?
 
Wewe muongo kwa sheria za spain Kifugo ambacho ni less than 24 month unafungwa kifungo cha nje. Huo uongo umeutoa wapi?
We mjinga soma kilichoandikwa na hata hii heading niliyotumia ndio heading kwenye gazeti husika.
 
Hapa tunasema wakwepa kodi na matajiri ni watu hatari sana, watarudisha taratbu. Hata kama hawajarudisha hatujui, lejea kauli ya jakaya kwa zile pesa za epa. Hapa ni maigizo kwa kwenda mbele. Lugumi wamepewa miez 6 wafunge mashine zote , huku awali walisema zote zipo. Hii ndio tz ukiifikilia sana utakufa siku si zako . Kula dona yako mambo yaende
 
Argentina and Barcelona footballer Lionel Messi has been sentenced to 21 months in prison for tax fraud.

His father, Jorge Messi, was also given a jail term for defrauding Spain of €4.1m (£3.5m; $4.5m) between 2007 and 2009.

They also face millions of euros in fines for using tax havens in Belize and Uruguay to conceal earnings from image rights.

However, neither man is expected to serve time in jail.

Under the Spanish system, prison terms of under two years can be served under probation.

'I knew nothing', Messi tells court

Messi retires from international football

Is Messi best of all time?

How Messi reached his 500-goal milestone

Quizz: How well do you know Messi?

The footballer and his father were found guilty of three counts of tax fraud in Wednesday's ruling by the court in Barcelona.

As well as the jail terms, Messi was fined about €2m and his father €1.5m. They made a voluntary €5m "corrective payment", equal to the alleged unpaid tax plus interest, in August 2013.

The sentence can be appealed against via the Spanish supreme court.

Lionel Messi's illustrious career:
_90308080_b7302830-a4bc-4d4f-9b9b-bc1ac9504571.jpg
Image copyrightAFP
  • Winner of Fifa Ballon d'Or as world's best footballer on five occasions
  • Voted Uefa best player in Europe three times
  • Uefa Champions League winner with FC Barcelona on four occasions
  • Spanish championship winner with FC Barcelona eight times
  • Olympic gold medallist with Argentina in 2008
  • Argentina's all-time leading scorer with 55goals
...and major disappointments:
  • June 16 2016: quits Argentine team after missing penalty in shootout in Copa America final loss to Chile
  • it was fourth major final defeat for Argentina in nine years
  • other three losses: Copa America (2015) again to Chile (again on penalties); 2014 World Cup to Germany; Copa America (2007) against Brazil
Lionel Messi's career in photos

Messi statue unveiled in Buenos Aires

FC Barcelona's reaction
"FC Barcelona expresses its full support to Leo Messi and his father in relation to the conviction for tax fraud...

"The club... considers that the player, who has corrected his position with the Spanish tax office, is in no way criminally responsible with regards to the facts underlined in this case
 
Tanzania ni nchi pekee ambayo Unaweza kukwepa Kodi na ukapiga Hela nyingi na ukaonekana Inspiration Person
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom