Hizi distro zingine sizisomi kabisa, hivi kwa nini na sisi wabongo tusitengeneze yetu maana source code za linux zinapatikana.Kwa orodha ndefu na link ya distribution za linux fungua DistroWatch.com: Put the fun back into computing. Use Linux, BSD.
shuklani, nipo nainstall sasa. dah mkuu nimeielewa hiiKwa wale wanaopenda ribbon interface kama ya ms office 2007+ wanaweza tumia wps for linux. Downloads - WPS Office Community
Kuinstall niniJe! Naweza ku instal kwenye window phone (nokia lumia)520
Download manager Yako haina resuming option?Leo nilikuwa na download image ya Kali Linux karibia Mara 5 hawa washenzi tanesco wamekata umeme mpaka wamenikata maini halafu ukizingatia image zenyewe mpaka imalize kudownload huchukua muda ,kila nikidownload ikifika kati wanakata umeme halafu nilikuwa na mzuka Leo na Kali linux
Hawa Tanesco wamenikatisha tamaa Leo
Kali Linux
Naomba hiyo window namm niinstallnatumia linux mint 18 - 64bit nina wine ila kuna aplicación za window nimeshindwa ku install
Dual boot maana yake unainstall Operating system mbili kwenye kompyuta moja, na unakuwa unachagua ipi ya kutumia unapowasha pc yako. Mfano unaweza weka windows na Ubuntu. Installation yake ni simple, kama tayari pc yako ina windows installed, ukiboot Linux CD (Ubuntu, Linux mint) huwa inakupa option ya kuinstall alongside windows just click hapo itafanya partition yenyewe na kujiinstall. Na pindi utakapowasha pc utaona option ya kuboot either windows or Linux.mimi sijaelewa...hio dual boot....kama jamaa hapo juu...alivyosema
hapo sawa...mkuu...af linux inayokubali windows 10 ipo?Dual boot maana yake unainstall Operating system mbili kwenye kompyuta moja, na unakuwa unachagua ipi ya kutumia unapowasha pc yako. Mfano unaweza weka windows na Ubuntu. Installation yake ni simple, kama tayari pc yako ina windows installed, ukiboot Linux CD (Ubuntu, Linux mint) huwa inakupa option ya kuinstall alongside windows just click hapo itafanya partition yenyewe na kujiinstall. Na pindi utakapowasha pc utaona option ya kuboot either windows or Linux.
Siyo linux kukubali win10...ni linux inakuwa alongside window 10.Fwata maelekezo ulivyoelekezwa hapo juu utaweza kuwa na win 10 na Linux kwenye pc yako kama hivhapo sawa...mkuu...af linux inayokubali windows 10 ipo?
window ipi mkuu sijakuelewaNaomba hiyo window namm niinstall
mkuu...ina ukubwa gani...nikaapakue..Siyo linux kukubali win10...ni linux inakuwa alongside window 10.Fwata maelekezo ulivyoelekezwa hapo juu utaweza kuwa na win 10 na Linux kwenye pc yako kama hiv
kama 1.74GBmkuu...ina ukubwa gani...nikaapakue..
Ungejaribu ku-update kwa kutumia terminal kwanza.Ubuntu software center kwenye ubuntu 16.04 inakataa nikirun jamani haifunguki kabisa.