Thanks mkuu, nitalifanyiakazi.Hiyo inatokana na extension ya hizo ambazo wewe umesave kwenye hiyo mint zibadili na uandike .docx
Mkuu mie nilikuwa naomba nipate maelezo jinsi ya kuinstall kali linus kwene pc yangu yenye window 10Ask linux questions and get answers Here
Kali Linux iko full na drivers karibia zote wala haihitaji hizo USB network adapter.Unapotumia Kali linux ni lazima utumie USB network adapter for wireless networks? Niliwahi kuinstall kali linux lakn niliitoa baada ya kushindwa kuaccess wireless networks.
Njia nzuri nikutengeneza partition kwa kutumia hiyo windows 10. Halafu ile partition Unai unallocate hivyo ukishaanza Fanya installation itajiingiza moja kwa moja, au unaweza tumia oracle virtual box ambayo utafanya installation bila kifanya partition na os itakuwa ndani ya windows 10.Mkuu mie nilikuwa naomba nipate maelezo jinsi ya kuinstall kali linus kwene pc yangu yenye window 10
msaada ndugu juu ya hiyo iso image ya Linux mint,maana nilishawahi idownload zaidi ya mara tatu lakini kila nikii burn kwa power iso haiwi bootable na niki weka kwa flash kwa kutua Rufas na Universal USB still haiwi bootable tu,wenda kama kuna download link tofauti na official Linux mint website unisaidie ndugu. AhsanteInakubali, mimi nimeinstall Mint alongside Windows 7 wakati wa kuboot inanipa option ya kuchagua. Tatizo ninaloliona ni files za office mint hazifunguki kwenye Microsoft office.
Computer yako ni 32bit au 64?msaada ndugu juu ya hiyo iso image ya Linux mint,maana nilishawahi idownload zaidi ya mara tatu lakini kila nikii burn kwa power iso haiwi bootable na niki weka kwa flash kwa kutua Rufas na Universal USB still haiwi bootable tu,wenda kama kuna download link tofauti na official Linux mint website unisaidie ndugu. Ahsante
ni 64 bit mkuuComputer yako ni 32bit au 64?
kw nn kali linux haikubal double click ya kwny touchmouse ya laptop hadi utumie left click button?!Ask linux questions and get answers Here
Niliupdate Ubuntu 14.0.04 LTS kwa kutumia Terminal iwe 16 inagoma kuwaka inaishia kwenye kuweka Password tu haiendelei
hongeraMy favorite command of all time rm -rf *
Ingia setting na uicheck mouse touchpad itakubalikw nn kali linux haikubal double click ya kwny touchmouse ya laptop hadi utumie left click button?!
jaribu kuupdate kwa kutumia live cd hili tatizo nilishawahi kukutana nalo kwenye ubuntu 14
Inawezekanaje naweza tumia OP mbili kwenye kompyuta moja, yaani window na Linux??
Na je compyuta ya apple ukatumia Os na window?Inawezekana