Linux Admin, Free Torrent - seeding server for you All

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Nimeona watu wengi wakilipia justseed.it,zbigz,bybtex n.k kupata premium accounts kwa ajili ya ku-seed torrent ili ziwe direct downloads.Infact bei nilizozikubali katika hao seeding providers ni hawa justseed.it lkn weakness yao ni kwamba hawatoi option ya ku-zip files kama zbigz.com.

Kitu kilichoni-bore kwa hawa justseed.it ni kwamba bado hawajakaa kibiashara zaidi yaani hawana Customer support hata kidogo,Ni week iliyopita walikula Data za 1TB za mteja wangu ndani ya siku saba,nikatafuta njia ya kuwa contact kuwauliza nikakosa ikabidi niwafungulie Case/dispute kwenye paypal na wakarudisha hela yangu lakini wakasema ngoja tukufanyie mbaya,wameni BAN nisifanye malipo na paypal account yangu...Kila nikijaribu naambiwa "We no longer accept payment from You" kusoma mkasa mzima Tembelea hapa kwenye forums zao
SUPPORT TICKETS - forum.justseed.it

Nikasema isiwe tabu najua kwa kuwa huduma yao iko cheap wameamua kunikomoa wakijua sitopata pengine huduma kama hii,Fortunately huwa nina server yangu ya Linux i.e a VPS ambayo inauwezo mzuri kwa matuizi ya kawaida na huwa naitumia kama HTTP(s) Proxy server nikasema kwa nn nisitengeneze Seeding server yangu niondokane na hawa washamba wa justseed.it

To cut the story short niewaleteeni Seeding server yangu ya kizushi hapa kama kuna wataalamu watanisaidia kurekebisha baadhi ya vitu na kuiboresha kwa kutoa reviews na feedback kwa perfomance ya server hii na mwisho wa hii thread ntatoa configuration yangu ili kama kuna nyongeza naweza fanya niweze kurekebisha


Jinsi ya kutumia

Tembelea http://62.4.13.2:9091/transmission/web/
jaza authentication details kama nilivotaja pale awali kisha Upload kama picha ioneshavyo



Kabla ya ku-upload torrent iangalia kama kuna mwenzako kashai-upload hapa http://62.4.13.2/downloads/

Ukimaliza waweza select torrent yako na ku-delete



Speed ya ku-seed nafikiri niyakuridhisha japo itakubidi kusubiri kidogo baada ya ku-upload file



Na speed ya ku-download kutoka kwenye server iko poa sana tu



Unfortunately JF hai-support file format ya .json file itabidi nili Upload site nyingine
https://anonfiles.com/file/5b0cd57a7248b819714ad5e37d149da9

Your contributions and feedback are welcome:cool2:

SHARING IS CARING
 
Kaka seed sio kudownload na wala just seed haitumiki kwenye kudownload.

Seed maana yake ni kuwa na file then Una WA uploadia wenzako mbali mbali duniani ili na wao waweze kudownload.

Mfano Una software yako inaitwa xxx ukaieka torrent watu wadownload speed zetu hazitoshi maana ni shared. Hata kama Una 3MBps wakiwa watu 20 watapata 150kBps tu na kama wakiwa wengi kama kitu ni Maarufu lets say watu 1000 bas speed itadrop Hadi 3KBps

Ndio hapo inapokuja just seed wao wanaseed torrent file lako ili liwe na speed kubwa kwa watu Wako wanaodownload. Hilo la kueka direct link ni secondary objective tu
 

Nimekusoma kaka
 
Unfortunately am using proxy,,xo i can't say anythng.!!
but nakuamin njunwa,,nahc itakua poa,
VP KUHUSU LIMIT YA FILE SIZE???
 
Unfortunately am using proxy,,xo i can't say anythng.!!
but nakuamin njunwa,,nahc itakua poa,
VP KUHUSU LIMIT YA FILE SIZE???

Uki Install transmission GUI kama hii settings nyingi ni default kinachojalisha sana sana nikubadili zile settings ambazo zitakubana katika spped ya kudownload torrent kutoka kwenye watu wenye ilo file
Ila katika configurration niloweka iyo option ya ku limit file size nimeitoa
Ila sasa haimaanishi unaweza Upload size yoyote ya file ikakubali size kubwa sana kama 100GB zinaweza kataa sababu VPS wanazotuuzia mara nyingi storage haizidi hapo na hizo torrents zikisha kua downloaded zinatunzwa kwenye server ktk directory ya /var/www/downloads(apache webserver directory) hivo HDD ya VPS ndo ita determine Upload size capacity
 
njunwa wamavoko hebu nielekeze how it works. Nataka niingie online sasa ivi. Lets say nna file la torrent kutoka kat.ph au piratebay, what next?

unacharge gharama zozote? If no, how are u supporting this project. Hapa kwa haraka haraka nimeona mafaili umeyahost kwako ili watu wadownload.

soon utaijiwa na microsoft, riaa, na wengine kwa copyright infringement...
 
Last edited by a moderator:

Si charge hela yoyote kaka...na hiyo issue itaendelea kuwepo kwa watakaoitaji mpaka mda nilolipia VPS ukiisha ambayo sio leo wala kesho walau 30 days to go
Hiyo server najifunzia tu vitu kadhaa hivo sina cha kupoteza kwa kuacha itumike ku download torrents kutoka hizo sites

Ukienda kat.ph waweza Copy magnet link au ku-download .torrent file afu ukatembelea Enjoy Wamavoko Services
Ikishaload ikamaliza basi bonyeza ki folder cha UPLOAD(kimezungushiwa duara la blue katika hii picha hapa chini)



Ita download kutoka kwa watu wenye hilo file waliopo na ikifikisha asilimia 100% basi tembelea
Index of /downloads hapo utakuta files zako zote

Kuhusu Piracy hapo na mimi naposubiri itakuja kua je?
Navyojua Piracy casse inaenda moja kwa moja kwa anae HOST server na nafikiri ikija kwake issue itakua ni kui-terminate hiyo server
 
je na huyu wewe naona mnalingana sana au mwenzako kaka?
DOWNLOAD TORRENTS DIRECT WITH IDMAN

HOW?....
login in here with
http://212.129.33.166:9091/
User: whitehat
pass: whitehat12345

you can access your downloads here
right click on folder add to achive and download option
added you now have a free seed box and option to delete
files too

Login - eXtplorer
User: whitehat
pass: whitehat12345

 
View attachment 175202nimejaribu bila proxy ipo poa sana.

Iki download ikafika mwisho hata ukiwa na proxy ndani ya browser yako tebelea hapa Index of /downloads utaanza kudownload direct from server na kama unayo mengi we yaweke tu utarejea kwenye proxy uendelee kuyashusha
Pia katika ku upload files katika transmission GUI jitaidi kuweka lenye seeders wengi
Njia rahisi kujua file lenye seeders wengi liko torrent site gani basi tembelea BitCQ - light and possibly the fastest search engine
 

Swali lako sijui nililinganishe na nn?
Na huyu aloweka hii Video youtube ni ndugu yangu?
Emu siku nyingine uliza maswali ya msingi
Au niko nashindana nae?
https://www.youtube.com/watch?v=rSYOSJjn8y4
 

kaka ukiwa na vps ni kama unamiliki computer ya kawaida sema inakuwa online, unaweza ukainstall software yoyote watu waka acess.

mfano hii ya njunwa na ya huyo robinn ni kitu kimoja ni kawaida tu kama vile wameeka bittorent kwenye pc zao. vps inakuwa na processor, ram na memory kama pc ya kawaida.

na sio torrent tu theorotically unaweza run app yoyote
 

Afadhali uemuelewesha ila point yake haujaielewa anachotaka kusema ni Copy n' Paste kama kawaida ya wabongo maana hiyo Profile aloshare ni ya Friend wangu wa FB yupo UG

Ni kweli hizi VPS ni sawa na Computer iliyo Online 24/7 kama ulivyobaini
Na kwa hii case ya VPS yangu properties zake ni Unlimited bandwidth kama inavyoonekana hapa kwenye picha



Kama unaelewa Linux commands ni sawa tu na kuweka Bittorent kwenye PC yako uanze kushsusha Movie
Zaidi ni kujua zinatumika vipi
Mm natumia Bitvise kama SSH Client ambayo pia inasupport na FTP client at the same time nachofanya na download configuration file kutoka kwenye server baada ya hapo nali edit kwa Notepad++
Hii Bittorrent nilo install inaitwa Transmission-Gui na configuration yake(settings.json) niliabatanisha pale juu kwa manufaa ya wengine



Nafikiri Bwana @mshiri hiki ndo kitu hakukielewa alifikiri lazima uwe extra ordinaly creature kutengeneza kitu kama hicho infact hata kwenye thread nimeweka bayana kwamba mm hii Transmission-GUI nilikua siitumii baada ya justseed.it kunipiga BAN ndo ikabidi niiweke hii makitu kwenye Server yangu ambayo nilikua natumia kama HTTPS proxy na kujifunzia linux commands



Imebidi labda nimueleweshe kwa picha huyu kijana ambaye ukiisoma ind yake utaona imejaa dharau tena dharau kwa mtu ambaye hajui Potentialities zake





Nafikiri umeelewa hii si kazi ya mtu mmoja ziko plenty of tutorials online ambazo hata wewe kama unaelewa Linux navigation and basic tasks basi utafanya hiyo kitu VPS ziiko nyingi mtandaoni sio issue kama unataka kujifunza kutoa 10$ per month na mm siku zote hiyo ndo Principle yangu kama kuna kitu najua nakiweza siachagi kinipite mbali sijaenda hata shule ya IT hata moja na hamna mtu nimewai hata kumlipa anifundisha Computer science yoyote ila kwa kuwa kuna Plenty of youtube tutorial za kitu unachokitaka hii ni kitu rahisi sana Bwana @mshiri kama ulikua ukielewi kielewe

Ni utundu utundu tu mfano hii Interface ya apache webserver yang
Baadhi watakua wameiona somewhere Enjoy Wamavoko Services
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…