Inasikitisha sanaHapo Magogoni palitakiwa kujengwa daraja refu ambalo lingeruhusu meli kubwa kupita chini.
Daraja hili lilihitajika zaidi ya daraja la Tanzanite au lile la Nyerere.
Ila, nchi yetu ina tabia ya kuwa na vipaumbele vibaya.
Serikali imejenga daraja....umesahau ?Habari za mchana.
Je, serikali imejipanga vipi na ina mpango upi wa muda mrefu kwa wakazi wa Kigamboni ambao wakuwa wakipata hadha ya kuhangaika na usafiri wa kivuko Ferry takribani mwezi mmoja sasa, kivuko kinachofanya kazi ni kimoja tu MV kazi...
Lile daraja limekaa kushoto sana.Serikali imejenga daraja....umesahau ?
Serikali imejenga daraja....umesahau ?.....ipo siku watasitisha mambo ferry pale..nadhani unaelewa hiloLile daraja limekaa kushoto sana.
Mtu anataka kuja mjini, daraja linampeleka Kurasini karibu na Sabasaba huko.
Yani daraja badala ya kufupisha safari, linarefusha safari zaidi.
Mkuu hivi vivuko navyo ni kama treni ambapo siwezi kununua na kufanya biashara badala ya kuwasubiri hao wapogaji?Hivi vivuko kama vile vya Azam Sea Tax kinagharimu bei gani kimoja? Je serikali haina uwezo wa kununua hivyo?
Sijajua mkuu kuhusu hiyo fursaMkuu hivi vivuko navyo ni kama treni ambapo siwezi kununua na kufanya biashara badala ya kuwasubiri hao wapogaji?
Hakuna uwezekano wa kujenga daraja linaloweza kuwa linarudi nyuma kama kuna meli inataka kupita na baadaye linarudi tena kuendelea kutoa huduma?Serikali imejenga daraja....umesahau ?.....ipo siku watasitisha mambo ferry pale..nadhani unaelewa hilo
Subiri soon watampa Azam awe anavusha kwa bei zake kila kitu kwake yeye atalipa kodi tu....Hakuna uwezekano wa kujenga daraja linaloweza kuwa linarudi nyuma kama kuna meli inataka kupita na baadaye linarudi tena kuendelea kutoa huduma?
Kwanini waafrika hawana utamaduni wa kujali muda?
Ni changamoto kubwa sana kwa kweliSijajua mkuu kuhusu hiyo fursa
Ila ningefahamu bei ya zile sea tax ningefurahi sana
Huku Kigamboni shida kubwa tuliyonayo ni hapo kwenye kuvuka tunapoteza muda mwingi sana
Mbona bei rahisi sana? Sikuwahi kufikiri kitu kama hichoNi changamoto kubwa sana kwa kweli
Hizo water taxi zipo hapo mkuu ila ni 12 passengers tena ya 2016 kwa £25,000
Ila kwa mchina zipo wasafiri 100 kwa 30m tsh kabla ya usafiri wala ushuru ila hiyo itafaa kama unapata kibali na 30m is nothing
Hii hapa ya 100 passengers unaendesha mwenyewe View attachment 2901878
Ukiamua kutumia daraja badala ya pantoni unaongeza 5 au 6km mpakq Posta. Umbali huo na muda unaookoa hapo feri ni afadhali mara 1000!Lile daraja limekaa kushoto sana.
Mtu anataka kuja mjini, daraja linampeleka Kurasini karibu na Sabasaba huko.
Yani daraja badala ya kufupisha safari, linarefusha safari zaidi.