Genghis Khans
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 502
- 462
Rais Magufuli amefanya kazi nzuri kwenye siku zake 100 tangu ameingia offisini, Lakini Kwa wengi wetu wa serikalini naona mambo ni magumu sana. Mabosi wamekuwa mambogo sasa hivi.
JPM na Majaliwa ni majembe kweli naona wanataka kukata mwaka bila hata kwenda likizo. Naomba Ikulu itujulishe hawa viongozi wetu wakienda likizo kwani mabosi watalegeza uzi kidogo huku angalau ............