MREKEBISHARIKA
Member
- Dec 4, 2006
- 18
- 33
Naona mmepanic baada ya kuulizwa swali la msingikuwa katika kamati kuu ya chama sio ajira
Pamoja na uandishi wake kutatiza, ila swali alilouliza ni la msingi. Hivi mtafanyaje maamuzi ya kumteua mtu kuwa mjumbe wa CC ilhali si mwanachama wa chama hicho? Hii ni mara ya pili CHADEMA mnafanya kosa hili. Kwa mara ya kwanza mlimyeua mtu ambaye si mwana CHADEMA kuwa mgombea Mwenza na sasa mnamteua Sumaye kuwa Mjumbe wa CC ili mwaka 2020 awe mgombea Urais wenusioni haswa umelenga nini,,, pia jifunze uandishi mzuri hata kidogo basi maana opening statement yako wala haina maana yoyote
Waziri mkuu wa awamu ya tatu Mh.Fredirick Sumaye amtangaza rasmi kujiunga na chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema na amekabidhiwa kadi na Mwenyekiti wa chama hicho Mh.Freeman Mbowe.Pamoja na uandishi wake kutatiza, ila swali alilouliza ni la msingi. Hivi mtafanyaje maamuzi ya kumteua mtu kuwa mjumbe wa CC ilhali si mwanachama wa chama hicho? Hii ni mara ya pili CHADEMA mnafanya kosa hili. Kwa mara ya kwanza mlimyeua mtu ambaye si mwana CHADEMA kuwa mgombea Mwenza na sasa mnamteua Sumaye kuwa Mjumbe wa CC ili mwaka 2020 awe mgombea Urais wenu
Wewe ni jipu, umeandika ngonjera ndefu mwanzo mpaka mwisho nimeambulia majungu.Aliwahi inya Mwalimu Nyerere kuwa ili maendeleo ya kweli yawezefikiwa moja ya vigezo vya kuzingatowa ni Eiasa Safi na Uongozi bora.
Siasa safi niliyoielewa mimi ni pale panapokuwa na uhuru wa kufanya shughuli za kisiasa kwa maana ya kuwa wananchi wana uhuru wa kushiriki siasa kupitia vyama vyao na kwamba viongozi wa vyama hivyo wanasimamia maslahi mapana ya nchi ya vyama vyao na siasa kwa ujumla.
Hivi karibuni kuna vituko vimetokea na hivi ni vya kujiuliza wapi tunaelekea. Mwenyekiti wa CHADEMA alimpendekeza Aliyekuwa Fredrick Sumaye kuwa Mjumbe wa CC ya Chadema. Sio jambo baya lakini kwa sisi wana duru la siasa linatuachia Maswali mengi sana. Moja kubwa ni hili LINI SUMAYE AMEJIUNGA NA CHADEMA?
Katika mahojiano na Vyombo vya Habari mwezi wa 12 , 2015 Bwana Sumaye alikiri mwenyewe kuwa hajajiunga na Chama chochote cha siasa baada ya kutoka CCM. Isipokuwa moyoni mwake alieleza nia yake ya dhati ya kuona kuwa Ccm inasambaratika kwa kuwa sasa muda umefika.
Kwa fikira ndogo za mtu kama mimi nilidhani Chama kingejiridhisha kwamba juu ya Utayari wa mtu kama. Sumaye ambaye uenda anakwenda Chamani kutafuta ajira tu na sio kukisaidia chama. Ikumbukwe pia katika vikao vya uteuzi wa katibu mkuu wa Chama, mwenyekiti Mbowe aliwahi kutaka Sumaye awe katibu mkuu kabla jaribio lake hilo kushindikana na kuwa na jina la mtu ambaye hakuwa ameandaliwa na leo hii tunashuhudia chama kurudi ofisini tofauti na kilivyokuwa siku za nyuma.
Je hatujajifunza ya Mwalimu Juma Duni? Chadema kiliwahi kufanya jaribio katika kile kilitafsiriwa na wengi sisi kuwa jaribio la kuchukua nchi kwa hila. Walimchukia Lowasa toka CCM NA Duni toka CUF . Kilichoendelea kitoshe kuwa sehemu ya vituko. Babu Duni leo yuko CUF Karudi Chama chake na Lowasa anashinda barabarani tu akinunua mahindi na kuchekesha kuwa anakubalika wakati JPM anachanja mbuga na wananchi wanasoma Namba.
Turudi kwa Sumaye, Lini umejiunga na Chadema? Maana kwa umaarufu na umuhimu wako nilitaraji kusikia siku maalumu ya kupewa kadi ya Uanachama. Kwa maneno yako ulitwambia kuwa wewe hautojiunga na chama chochote. Au mwenyekiti Mbowe unaendelea na cinema zako zile.naomba kuwasilisha.
:: Sumaye Atangaza Rasmi Kuwa Mwanachama Wa ChademaPamoja na uandishi wake kutatiza, ila swali alilouliza ni la msingi. Hivi mtafanyaje maamuzi ya kumteua mtu kuwa mjumbe wa CC ilhali si mwanachama wa chama hicho? Hii ni mara ya pili CHADEMA mnafanya kosa hili. Kwa mara ya kwanza mlimyeua mtu ambaye si mwana CHADEMA kuwa mgombea Mwenza na sasa mnamteua Sumaye kuwa Mjumbe wa CC ili mwaka 2020 awe mgombea Urais wenu
Achana na Lizaboni ni jipu lililooza kwenye ......
Lizaboni hiyo ngonjera ulivyoandika inaonesha hata lasaba hujamaliza, wallahi.Naona mmepanic baada ya kuulizwa swali la msingi
Usipoteze nguvu zako kuwajibu wakurupukaji
Nani kakuambia siyo member wa cdm? acha uvivuPamoja na uandishi wake kutatiza, ila swali alilouliza ni la msingi. Hivi mtafanyaje maamuzi ya kumteua mtu kuwa mjumbe wa CC ilhali si mwanachama wa chama hicho? Hii ni mara ya pili CHADEMA mnafanya kosa hili. Kwa mara ya kwanza mlimyeua mtu ambaye si mwana CHADEMA kuwa mgombea Mwenza na sasa mnamteua Sumaye kuwa Mjumbe wa CC ili mwaka 2020 awe mgombea Urais wenu
Hii mada lazima ikose wachangiaji, jamaa kapiga ikulu yao.Naona mmepanic baada ya kuulizwa swali la msingi
Badala ya kutumia nguvu kuuliza swali juu ya swali, wana CHADEMA tungekuwa waumgwana tu kueleza ukweli. Wana CDM tunajua kuwa Sumaye si member wa chama chetu. Tunajua kuwa Sumaye ndiye anayeandaliwa kuwa mrithi wa Lowasa 2020. Tunajua kuwa hapa ni biashara tu inayofanyika na hakuna siasa safi. Mbowe kwa hii kashfa hastahili kuwa MwenyekitiNani kakuambia siyo member wa cdm? acha uvivu
Wana CHADEMA siku zote tunakosa hoja tunapoulizwa masuala ya msingi yanayohusu chama chetu. Badala ya kujibu hoja tunakuwa wakali kama mbogoHii mada lazima ikose wachangiaji, jamaa kapiga ikulu yao.
Kama rais wao anayejifanya kutumbua majipu wakati yeye mwenyewe jipuUsipoteze nguvu zako kuwajibu wakurupukaji