Mimi naomba kama yupo mwwnye majibu anisaidie.
Kama tuliambiwa "tunademka" na kwamba "kifo ni kifo" na hujwahi omba radhi kwa kauli za aina hiyo huku ukisema wewe ni "chura kiziwi' , sasa logic ya kufanya maridhiano inatoka wapi?
Mwenye majibu tafadhali.