Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Wadau Kwa mwenendo wa matukio Na chuki aliyonayo spika sidhani kama atatoa maamuzi ya bunge dhidi ya mwaccm mwenzao Paulo Makonda badala yake maamuzi ya wabunge wa upinzani ndio yatatolewa.Bunge letu haliko kitaifa sana liko kichama ndio maana tumeona wakati wa upigaji kura Kwa wabunge wa afrika mashariki.