aisee yaani magufuli ndo angekuwa kikwete tangu 2005, saivi nchi ingekuwa mbali sana
Mungu ametukumbuka watanzania ,ni wakati wa kushusha pumzi......
Nothing more ni usanii baada ya kung'oa mizizi anakata matawi hahaha bongo hatuna viongz wakwel
ivi huko hospitalin dawa ni bure au?
Mh magufuli wa mwezi m1,aliyoyafanya kwng mm yanazidi miaka 10 ya mheshimiwa,,,,,,,,,
Nothing more ni usanii baada ya kung'oa mizizi anakata matawi hahaha bongo hatuna viongz wakwel