samweli msigwa
Member
- Mar 11, 2015
- 29
- 17
Rais kalisogeza mbele mpaka DES 31 NIDA wametakiwa kila mtanzania mwenyekiti sifa ya kupata kitambulisho Cha utaifa apewe ndo walete ajenda yao ya kusajili line ya Simu....Tujadili hili swala LA kusajiki upya line jee muwalio toa utatosha kweli miningependa selikari wange Fanya kama walivyo Fanya zoezi LA kujiandikisha kwenyedaftari LA kudula kula nahivi vitambulisho vya taifa iweivyo ilikuwafikia watanzania wote kwa haraka bila usumbufu tujadiliane kuhusu hili twende sawa by Fundy samwely
Tujadili hili swala LA kusajiki upya line jee muwalio toa utatosha kweli miningependa selikari wange Fanya kama walivyo Fanya zoezi LA kujiandikisha kwenyedaftari LA kudula kula nahivi vitambulisho vya taifa iweivyo ilikuwafikia watanzania wote kwa haraka bila usumbufu tujadiliane kuhusu hili twende sawa by Fundy samwely
Na wewe jitahidi uhariri kabla hujapostHuo uandishi wako mkuu duuh,uwe una hariri kwanza kabla hujapost......
Maendeleo Haya n Chama
...Naomba kuongeza hapo Mkuu. Hivi hakuna aliyekuwa na busara ndogo tu ya kuona kuwa muda ulikuwa mchache sana na wananchi wengi walikuwa hawajapata vitambulisho vya Utaifa wala namba zake, hadi raisi alione hilo na kulitolea tamko?Hivi inakuaje mkuu wa mamlaka hajiuzulu kama agizo lake linawekwa kando na aliyempa dhamana? Ina maana hakujiridhisha ni watanzania wangapi wana hivyo vitambulisho au alitaka kupima reaction ya wananchi ? Muda Wenyewe Ni Mfupi mbona wananchi wengi wengi wangefungiwa kupata huduma kama wangeazimia kutekeleza kusudio lao. Mapato Yangeshuka Hasa Makampuni Ya Simu. Halafu Kusajili Laini Moja Itakuwa Ni Kero ya mawasiliano kwani makampuni yanatofautiana coverage network maeneo mengi nchini hususani vijijini. Ndio maana watu wanasajili laini zaidi ya moja ili wawe na uhakika wa mawasiliano popote nchini hususani upatikanaji wa internet. Kusajili laini moja itakuwa kero, wananchi wajisali kwenye mitandao ya simu zaidi ya mmoja wanakopata huduma wazihitajizo kwa maendeleo yao
Mkuu,, huyo jamaa inaonekana alikuwa na haraka sana au alikuwa amebanwa na kitu!!!Huo uandishi wako mkuu duuh,uwe una hariri kwanza kabla hujapost......
Maendeleo Haya n Chama
Tehtehtehee...Wewe kweli "Fundy samwely"
Viongozi wa awamu ya tano wanashindana kutoa matamko
O cabesa não regula,o corpo é que pago
huo uandishi nimeshndwa kuelewa
Haa kwahiyo ujaelewa au kiburihuu uandishi wa mada yako umenifanya mpk kichwa kinaniuma!
Yaah! Kama ujaelewa nicho andika njoo inbox niku haririlie hii maadaWewe kweli "Fundy samwely"
Sawa mkuu ilitokea dharula wakati naandika nikamuona mbaya wangu ndomaana Nina post kabla sija haririHuo uandishi wako mkuu duuh,uwe una hariri kwanza kabla hujapost......
Maendeleo Haya n Chama
Rais kalisogeza mbele mpaka DES 31 NIDA wametakiwa kila mtanzania mwenyekiti sifa ya kupata kitambulisho Cha utaifa apewe ndo walete ajenda yao ya kusajili line ya Simu....