Simu yako haisapoti LTEWakuu laini yangu ni 3g hivyo nimejaribu kuswap ili nipate 4g, ila cha ajabu nimejaribu mara mbili kuswap na swap line zimeandikwa 4g lite... Ila nikiweka kwenye simu bado napata 3g...
Wakuu wapi naweza swap nipate 4g au kuna namna ya ziada inafanyika?
basi eneo ulipo kwa vodacom bado hawajaweka 4GIna 4g...line nyingine zinakubali.. Nimeweka tigo inasoma vizuri tu
Eneo ulilopo ndio majanga na 4G [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu laini yangu ni 3g hivyo nimejaribu kuswap ili nipate 4g, ila cha ajabu nimejaribu mara mbili kuswap na swap line zimeandikwa 4g lite... Ila nikiweka kwenye simu bado napata 3g...
Wakuu wapi naweza swap nipate 4g au kuna namna ya ziada inafanyika?
Dah inawezekana mkuu..Eneo ulilopo ndio majanga na 4G [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama simu na lain zina support 4G bas na bado kuna shida basi eneo ulilopo ndo shidaDah inawezekana mkuu..
Wakuu laini yangu ni 3g hivyo nimejaribu kuswap ili nipate 4g, ila cha ajabu nimejaribu mara mbili kuswap na swap line zimeandikwa 4g lite... Ila nikiweka kwenye simu bado napata 3g...
Wakuu wapi naweza swap nipate 4g au kuna namna ya ziada inafanyika?