Line ya Tigo-pesa inahitajika

ween

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
414
Reaction score
129
Wakuu Haba, sina mengi ya kuandika mimi nahitaji mtu mwenye laini ya Tigo-pesa aniuzie... Serious issue, asante
 
waulize mwana fa na ay wanaijua rain ya tigo
 
Wakuu Haba, sina mengi ya kuandika mimi nahitaji mtu mwenye laini ya Tigo-pesa aniuzie... Serious issue, asante
Ni line mkuu au kadiwia au mkamimo sio rain labda kama umemaanisha kitu kingine sio ile tunayoweka kwenye simu...rain ni mvua
 
Samahani wakuu
 
Nilimaanisha line
 
Wakuu Haba, sina mengi ya kuandika mimi nahitaji mtu mwenye laini ya Tigo-pesa aniuzie... Serious issue, asante
Mkuu unataka till au tigo pesa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…