Line ya Halotel ya chuo.

kwa kasi ya internet halotel ipo vizuri sana , hata ukiwa safarini network unaipata vilivyo,
 
Ofcuz znasaidia japo sielew y wanaziita line za chuo ilihali hata wa darasa la saba tunatumia..
Lastly, naomba namba ya wifey nimsalmie
 
Ofcuz znasaidia japo sielew y wanaziita line za chuo ilihali hata wa darasa la saba tunatumia..
Lastly, naomba namba ya wifey nimsalmie
waache watumie tu baada ya miaka 3 watakuta majina yao kwenye wadaiwa SUGU wa bodi ya mikopo
 


Pole sana.
Karibu tigo university kwa buku 3 tu ya kifurushi cha kwanza na registration baada ya hapo kifurushi ni 1500 kwa wiki.
130mins tigo-tigo
Unilimited sms's
1gb of data
unajiregister wapi au ndio mpaka chuoni
 
Habari.
Wakuu kutokana na hali ya maisha kuzidi kuwa tight na mitandao ya simu kuzidi kupunguza MB naomba mnielekeze namna ya kupata line ya Halotel ya chuo ili niweze kupata university offer.
Kaka kwanin usitafute line ya Airtel ambayo sio ya chuo?mimi natumia line ya Airtel ambayo sio ya chuo,tiGO, Vodacom na Halotel ya chuo lakin Airtel pia ni rahis mno ila itakubid uweke Salio kwenye Airtel money ndo ununue kifurushi.Piga *150*60# chagua namba 6 hapo utaona kuna vifurushi mbali mbali vya chuo.
 

Attachments

  • IMG_20170125_123255.jpg
    63.1 KB · Views: 34
  • IMG_20170125_123212.jpg
    69.8 KB · Views: 39
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…