Kwa kawaida line yenye internet access ukiweka kwenye android itaonyesha h au 3g kwenye network bars lakini nikiweka line ya airtel network bars ziko full lakini haionyeshi h wala 3g yani sipati internet, na configurations za net nilishazipokea, msaada mwenye ujuzi!