S StillWaters Member Joined Apr 1, 2013 Posts 23 Reaction score 2 Jun 18, 2013 #41 Unawakumbuka mafisi babu na bwich bwaiz.
Averos JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 994 Reaction score 703 Jul 1, 2013 Thread starter #42 Ficbabuz? Who ludo? Khalid ferdnard, mangosongo?
S StillWaters Member Joined Apr 1, 2013 Posts 23 Reaction score 2 Jul 2, 2013 #43 Averos said: Ficbabuz? Who ludo? Khalid ferdnard, mangosongo? Click to expand... Duuh! Ebwana huyu mtu Mangosongo yuko wapi? Jamaa tuliripoti mwezi 7 2002 akawa anapiga word formation(Eng. 1) vibaya ila akahama. Yaan alikuwa amepiga tuisheni topic zote.
Averos said: Ficbabuz? Who ludo? Khalid ferdnard, mangosongo? Click to expand... Duuh! Ebwana huyu mtu Mangosongo yuko wapi? Jamaa tuliripoti mwezi 7 2002 akawa anapiga word formation(Eng. 1) vibaya ila akahama. Yaan alikuwa amepiga tuisheni topic zote.
Averos JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 994 Reaction score 703 Jul 2, 2013 Thread starter #44 StillWaters said: Duuh! Ebwana huyu mtu Mangosongo yuko wapi? Jamaa tuliripoti mwezi 7 2002 akawa anapiga word formation(Eng. 1) vibaya ila akahama. Yaan alikuwa amepiga tuisheni topic zote. Click to expand... yeah, ngosongo alikuwa mbaya kwenye language ila hakumfikia kigoma one, na mwengine mbaya kwa language alikuwa nani yule jina limentoka.
StillWaters said: Duuh! Ebwana huyu mtu Mangosongo yuko wapi? Jamaa tuliripoti mwezi 7 2002 akawa anapiga word formation(Eng. 1) vibaya ila akahama. Yaan alikuwa amepiga tuisheni topic zote. Click to expand... yeah, ngosongo alikuwa mbaya kwenye language ila hakumfikia kigoma one, na mwengine mbaya kwa language alikuwa nani yule jina limentoka.
S StillWaters Member Joined Apr 1, 2013 Posts 23 Reaction score 2 Jul 3, 2013 #45 Averos said: yeah, ngosongo alikuwa mbaya kwenye language ila hakumfikia kigoma one, na mwengine mbaya kwa language alikuwa nani yule jina limentoka. Click to expand... Ww unamaanisha Ally Seif Gerey huyu alikuwa ni noumaa hata Kigoma haoni ndani. Alipiga A ya Language. Jamaa si mchezo mpaka Sasi alimgwaya.
Averos said: yeah, ngosongo alikuwa mbaya kwenye language ila hakumfikia kigoma one, na mwengine mbaya kwa language alikuwa nani yule jina limentoka. Click to expand... Ww unamaanisha Ally Seif Gerey huyu alikuwa ni noumaa hata Kigoma haoni ndani. Alipiga A ya Language. Jamaa si mchezo mpaka Sasi alimgwaya.
Averos JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 994 Reaction score 703 Jul 3, 2013 Thread starter #46 StillWaters said: Ww unamaanisha Ally Seif Gerey huyu alikuwa ni noumaa hata Kigoma haoni ndani. Alipiga A ya Language. Jamaa si mchezo mpaka Sasi alimgwaya. Click to expand... Yah, that it is. Na mataba yeye alikomaa na hist two
StillWaters said: Ww unamaanisha Ally Seif Gerey huyu alikuwa ni noumaa hata Kigoma haoni ndani. Alipiga A ya Language. Jamaa si mchezo mpaka Sasi alimgwaya. Click to expand... Yah, that it is. Na mataba yeye alikomaa na hist two
S StillWaters Member Joined Apr 1, 2013 Posts 23 Reaction score 2 Jul 3, 2013 #47 Averos said: Yah, that it is. Na mataba yeye alikomaa na hist two Click to expand... Mataba mzee wa misosi.
Averos said: Yah, that it is. Na mataba yeye alikomaa na hist two Click to expand... Mataba mzee wa misosi.
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 584 Jul 3, 2013 #48 Napita tuu
Averos JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 994 Reaction score 703 Jul 4, 2013 Thread starter #49 StillWaters said: Mataba mzee wa misosi. Click to expand... Hahahahahaha, Matabaaaa, mzee wa misoc! Ticha Komba yuko wapi?
StillWaters said: Mataba mzee wa misosi. Click to expand... Hahahahahaha, Matabaaaa, mzee wa misoc! Ticha Komba yuko wapi?
S StillWaters Member Joined Apr 1, 2013 Posts 23 Reaction score 2 Jul 4, 2013 #50 Averos said: Hahahahahaha, Matabaaaa, mzee wa misoc! Ticha Komba yuko wapi? Click to expand... Nasikia amekula shavu la mkuu wa shule. Mbona watakoma!
Averos said: Hahahahahaha, Matabaaaa, mzee wa misoc! Ticha Komba yuko wapi? Click to expand... Nasikia amekula shavu la mkuu wa shule. Mbona watakoma!
Averos JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 994 Reaction score 703 Jul 4, 2013 Thread starter #51 StillWaters said: Nasikia amekula shavu la mkuu wa shule. Mbona watakoma! Click to expand... Dah, kazi wanayo, shule iko wapi
StillWaters said: Nasikia amekula shavu la mkuu wa shule. Mbona watakoma! Click to expand... Dah, kazi wanayo, shule iko wapi
Landcruiser JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 1,805 Reaction score 599 Aug 8, 2013 #52 hyo Lindi highschool ipo Lindi mjini au