Hahahahaha torabora bweni la mafaza. Dah ticha mng'umba ana biti huyo ila yupo gud sana. Big up kwa wazee wa kuzamia sherehe Kagwa. Toxic, ospere, mangi yoka, zero brain. Long tym jameni.

daah huyu tarimo head-master wa sasa lindi high school alikuwa second master mahiwa sec,,,af akawa ananibania hata kunichagua kusahisha mitihani ya mock,,,nikaamua kuacha kazi kumbe ndio alikuwa ananipa safari ya mamtoni ha ha ha
Ntashkuru sana mkuu vp we bado uko lindi..?? Nimeimiss sana ming'oko, maji ya chumvi na ule wimbo wetu wa Lindi secondary i wont forget dat experience.. Asee jus PM namba yke ntashkuru sana! (Bahia)