Lindi: Bernard Membe apata ajali baada ya tairi la gari kupasuka

Hizi gari wanazikimbiza mno juzi nilipishana na Kilimo kwanza moja ya serikali ilikua na mwendokasi sana sana mpaka nikajiuliza huwa wanakimbilia wapi na boss yupo pembeni eti kafunga mkanda kwa mwendo ule ikitokea pancha au kitu chochote madhara yake ni makubwa mno...
 
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Tanzania Bernard Membe amepata ajali ya gari leo wakati akitokea Rondo kuelekea Lindi Mjini baada ya tairi la gari kupasuka, Membe na wengine wote waliokuwemo kwenye gari wapo salama na hawajapata majeraha yoyote.

mwenzake alikatika mkono, Nape naye alipiga chini. duuh. meko akatumiwa moto.. huko kusini mna nini?
 
Back
Top Bottom