stellahthatcher
Senior Member
- Oct 14, 2015
- 165
- 165
Mimi ndo (spy) mdukua sms, photos, calls SAA hyo app kabla hujaitoa tayar nilishaidukua...Habari JF,
Secure SmS - Faragha, ni mfumo wa simu kwajili ya kupokea na kutuma meseji bila kuwa na uhitaji wa kutumia Internet.
Hivi sasa kuna uwezekano wa kusomwa meseji za wateja katika mitandao tofauti bila ridhaa yao au bila agizo la kimahakama, Secure SmS haita muwezesha mtu yeyote kujua nini ulicho muandikia rafiki au jamaa yako sababu kila ujumbe utalindwa kwa kuvurugwa (Encryption).
Ni haki ya Kila mteja kuwasiliana kwa kugha yeyote ile atakayo chagua Kiswahili, kisukuma nk, sasa tumia lugha hii ya kielectronikia iliyo buniwa kulinda ujumbe unaoutuma mpaka utakapo mfikia mpokeaji (End-to-End Encryption) sio kuvunja sheria.
Tofauti kubwa ya kiusalama ya app hii tofauti na nyingine ni kuwa aihitaji kuwa na Internet ili uweze kuficha siri ya unachokituma, lugha iliyotumika sio rasmi hivyo ni vigumu kwa wataalamu wengine kung’amua aina ya lugha iliyo tumika (Non standard encryption).
Secure SmS ina lugha tofauti tano, mtumiaji na mpokeaji wataamua wenyewe ni muda gani watumie lugha ipi kwaajili ya kupoteza wote wanaofatilia mawasiliano yao. Ni haki yako kutuma unachojisikia ili mradi hakimdhuru mwengine au kuvunja sheria ya nchi.
Secure SmS pia inaweza kulinda ndoa kwa kuweka privacy baina wanandoa kila mmoja awe na uhuru wa kuwasiliana (Hide messages). Tunahaidi kuboresha kila siku mfumo huu na kufanya mfumo salama wa mawasiliano kwa jamii duniani.
Mfumo huu unauzwa kwa garama ya Tsh.2,000 ila kama ukinunua kwa kutumia Celebrity ID utapata mfumo huu kwa 1,500. Na gharama hizi ni kwa kipindi cha mwaka mzima. Ikitokea ume uninstall application bahati mbaya hutolipia tena mfumo utaingia moja kwa moja bila kuhitaji ufanye malipo yeyote.
Malipo yote yatafanyika kwa Mpesa, Tigo Pesa na Airtel money. Pia unaweza lipiwa na rafiki kwa mitandao hiyo download app kufuata maelekezo jinsi ya kulipa. Pia tembelea page yetu ya Instagram @securesms kwa maswali zaidi.
I would like me and you to explore on that, how do I prove that?Mimi ndo (spy) mdukua sms, photos, calls SAA hyo app kabla hujaitoa tayar nilishaidukua...
Napatikana hapa 0753093869
Spy 15000 tu.
It's end to end encryption mkuu.ni end to end encryption au ndo zile encryption za kawaida ambazo wewe una key unatudukua?
Tutajuaje.!It's end to end encryption mkuu.
Simple. Download the App and let's chat.Tutajuaje.!
masikini ndio michezo yao hii unakuta mtu ana miaplication kibao mara hili la kuficha picha,mara lile ninadaka msg za mke/mchumbaake zinakuja kwake,mara hili linafuatilia sijui nini,mimi nishafumaniwa na demu wangu,na pia ameshaona mimesegi yangu ya totoz kibao lakini kwakuwa nina mawe hafurukuti,ataenda wapi na nina kisu cha kufa mtuHabari JF,
Secure SmS - Faragha, ni mfumo wa simu kwajili ya kupokea na kutuma meseji bila kuwa na uhitaji wa kutumia Internet.
Hivi sasa kuna uwezekano wa kusomwa meseji za wateja katika mitandao tofauti bila ridhaa yao au bila agizo la kimahakama, Secure SmS haita muwezesha mtu yeyote kujua nini ulicho muandikia rafiki au jamaa yako sababu kila ujumbe utalindwa kwa kuvurugwa (Encryption).
Ni haki ya Kila mteja kuwasiliana kwa kugha yeyote ile atakayo chagua Kiswahili, kisukuma nk, sasa tumia lugha hii ya kielectronikia iliyo buniwa kulinda ujumbe unaoutuma mpaka utakapo mfikia mpokeaji (End-to-End Encryption) sio kuvunja sheria.
Tofauti kubwa ya kiusalama ya app hii tofauti na nyingine ni kuwa aihitaji kuwa na Internet ili uweze kuficha siri ya unachokituma, lugha iliyotumika sio rasmi hivyo ni vigumu kwa wataalamu wengine kung’amua aina ya lugha iliyo tumika (Non standard encryption).
Secure SmS ina lugha tofauti tano, mtumiaji na mpokeaji wataamua wenyewe ni muda gani watumie lugha ipi kwaajili ya kupoteza wote wanaofatilia mawasiliano yao. Ni haki yako kutuma unachojisikia ili mradi hakimdhuru mwengine au kuvunja sheria ya nchi.
Secure SmS pia inaweza kulinda ndoa kwa kuweka privacy baina wanandoa kila mmoja awe na uhuru wa kuwasiliana (Hide messages). Tunahaidi kuboresha kila siku mfumo huu na kufanya mfumo salama wa mawasiliano kwa jamii duniani.
Mfumo huu unauzwa kwa garama ya Tsh.2,000 ila kama ukinunua kwa kutumia Celebrity ID utapata mfumo huu kwa 1,500. Na gharama hizi ni kwa kipindi cha mwaka mzima. Ikitokea ume uninstall application bahati mbaya hutolipia tena mfumo utaingia moja kwa moja bila kuhitaji ufanye malipo yeyote.
Malipo yote yatafanyika kwa Mpesa, Tigo Pesa na Airtel money. Pia unaweza lipiwa na rafiki kwa mitandao hiyo download app kufuata maelekezo jinsi ya kulipa. Pia tembelea page yetu ya Instagram @securesms kwa maswali zaidi.
Hehehe luck you.masikini ndio michezo yao hii unakuta mtu ana miaplication kibao mara hili la kuficha picha,mara lile ninadaka msg za mke/mchumbaake zinakuja kwake,mara hili linafuatilia sijui nini,mimi nishafumaniwa na demu wangu,na pia ameshaona mimesegi yangu ya totoz kibao lakini kwakuwa nina mawe hafurukuti,ataenda wapi na nina kisu cha kufa mtu
Tutajuaje.!
Call meI would like me and you to explore on that, how do I prove that?
Navyeye tunamspymasikini ndio michezo yao hii unakuta mtu ana miaplication kibao mara hili la kuficha picha,mara lile ninadaka msg za mke/mchumbaake zinakuja kwake,mara hili linafuatilia sijui nini,mimi nishafumaniwa na demu wangu,na pia ameshaona mimesegi yangu ya totoz kibao lakini kwakuwa nina mawe hafurukuti,ataenda wapi na nina kisu cha kufa mtu