linaweza likawa tatizo

thehunk

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
533
Reaction score
233
ndugu wana MMU mwenzenu nina lips (lip ya juu na ya chini ) nene sana kufikia hatua kuhisi wasichana wengi ninaotaka kuwa nao kama mke na mume kunikataa je hili linawezekana likawa tatizo
 
Hayo ni maumbile yako ndugu yangu hakuna unachoweza kufanya juu ya hilo,JIAMINI.. kuna wanaopenda lips nene for sure....Usijali utampata atakayekupenda kutokana na jinsi wewe ulivyo(moyo wako)...
 
Muda si mrefu saaana kuna thred imeanzishwa! Yaani m/me kaungua uso yuko kama Zombie, na kaoa kabinti kazuriiiiiii!
Mh! Hela ndio kila kitu!

Yule kapata ajali bwana....hebu chunguza vizuri ile picha....
 
Hapo tatizo sio lips,tatizo lipo kwenye hisia,acha mawazo hasi,think positively
 
Kweli kabisa. Ajiamini tu kwa asilimia zote.
Hayo ni maumbile yako ndugu yangu hakuna unachoweza kufanya juu ya hilo,JIAMINI.. kuna wanaopenda lips nene for sure....Usijali utampata atakayekupenda kutokana na jinsi wewe ulivyo(moyo wako)...
 
Ndugu yangu hiyo ni kazi ya muumba. Na yupo uliyeandikiwa kuwa nae na sioni ubaya kuwa na lips nene.
 
ndugu wana MMU mwenzenu nina lips (lip ya juu na ya chini ) nene sana kufikia hatua kuhisi wasichana wengi ninaotaka kuwa nao kama mke na mume kunikataa je hili linawezekana likawa tatizo

Umezungumzia wasichana wengi!!!kwanini wengi na asiwe mmoja tu?yawezekana unapendwa vivyo hivyo ulivyo but hao wasichana wanaogopa ulivyowapanga kwa wingi wao ndo mana wanakukimbia,hilo si'tatizo maumbile tu tulia mwombe Mungu atakupa mke umtakae na ataekupenda.
 
una maana kama Diamond Platnumz? mbona yeye anakamata vimwana kama kawa
 
ndugu wana MMU mwenzenu nina lips (lip ya juu na ya chini ) nene sana kufikia hatua kuhisi wasichana wengi ninaotaka kuwa nao kama mke na mume kunikataa je hili linawezekana likawa tatizo

Lips kuwa nene au nyembamba au kuwa vyovyote vile si sababu ya kukufanya wewe ukatiliwe na wanawake, maana mapenzi ni zaidi ya muonekano wa mtu. Inawezakana hata unene huo ukiwa ni credit kwako ya kumpata binti anayependa lips nene!!! Jiachie na jenga hali ya kujiamini bila kuficha wala kusikia vibaya kwa hali uliyonayo ili mtu akikupenda, akukupenda jinsi ulivyo. Nikutolee mfano, kuna baadhi ya wanaume ambao hupenda wanawake wenye makalio makubwa, sasa je wanawake wenye makalio madogo huwa hawapati wachumba na kuolewa? Chunguza kwa makini, utajua kitu mtu mwingine anachokiona ni udhaifu, kwa mwingine ni credit kubwa ya kumfanya mke/mume!
 
ndugu wana mmu mwenzenu nina lips (lip ya juu na ya chini ) nene sana kufikia hatua kuhisi wasichana wengi ninaotaka kuwa nao kama mke na mume kunikataa je hili linawezekana likawa tatizo

jiamini. Chukua hatua
 
Jiamini bwana, wamjua diamond na buster rhymes wewe?
 
Haah! Wewe! Hizo ndo nzuri kwa kude..nd.ka! Afu akung'ate kidogo weeeh! Ucjali we jiamini utapata atakaekupenda kwa dhati pa1 na hivyo ulivyo.shaka ondoa!
 
haya ndo maneno niliyopenda kuyasikia dah jamani nimefarijika sana kwa pamoja nawashukuru sana kwa msaada wenu mana kumbe haina hata haja ya kwenda kwa therapist mana i was feeling vulnerable and desperate to the extent ya kufikiria vitu vingene vya ajabu. I like jf .again thanks all
 
Haah! Wewe! Hizo ndo nzuri kwa kude..nd.ka! Afu akung'ate kidogo weeeh! Ucjali we jiamini utapata atakaekupenda kwa dhati pa1 na hivyo ulivyo.shaka ondoa!
haya ndo maneno niliyopenda kuyasikia dah jamani nimefarijika sana kwa pamoja nawashukuru sana kwa msaada wenu mana kumbe haina hata haja ya kwenda kwa therapist mana i was feeling vulnerable and desperate to the extent ya kufikiria vitu vingene vya ajabu. I like jf .again thanks all
 
ndugu wana MMU mwenzenu nina lips (lip ya juu na ya chini ) nene sana kufikia hatua kuhisi wasichana wengi ninaotaka kuwa nao kama mke na mume kunikataa je hili linawezekana likawa tatizo

Vipi ni kama ule wa fantasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…