linauzwa

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,943
linauzwa bei mapatano kama unalihitaji ni pm
 

Attachments

  • znz.jpg
    585.8 KB · Views: 322
Tupia ujazo wa injini, picha za ndani na nje kwa kila upande pamoja na picha ya injini tuone.
 
Zanzibar bwana, utakuta liko kwenye highway nimenyooka tu. Sasa uliza limetengenezwa lini, kama ni jipya sana basi limetengenezwa 1967 nadhani baada ya azimio la Arusha!!!!!
 
Unampa Jicho?
I mean jicho moja?.....unayo mangapi?
ninayo mawili.......nampa moja nami nabakia na moja.......hahahahha Bigirita umewaza wapi tena.....mana mmh.
 
ninayo mawili.......nampa moja nami nabakia na moja.......hahahahha Bigirita umewaza wapi tena.....mana mmh.

Umnampa "jicho"! Shauri yako huyu huwa ni nouma hafanyi kosa utampa na lililobaki!
 
Body zuri kwa kutengeneza majiko ya Mkaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…