Limevunda CHADEMA

Unachowaza ni ngono tuu na mambo yasiyo na msingi. Badala ya kutafakari mstakabali wa Taifa unawaza na kuoongelea maneno ya vijiweni. Unakuwaje kama MZIWANDA? KUla kunya kulala kwa mama. Usichangie kwa kutumia masaburi.

Tatizo la CDM ndilo hilo, watu wakimgusa tu SLAA au MBOWE eti hawachangii kuhusu mstakabali wa Taifa, hili neno mstakabali huendi hatujui maana yake, nani kakwambia mstakabali wa Taifa uko mikononi mwa SLAA au MBOWE?
 
Watanzania siyo wajinga mkuu we tukana tu but siku ikifika usije kufa na presha.
kweli mkuu, halafu ukionna mtu anaongea maneno mengi na kuyarudia rudia jua hana sera zaidi ya kujikanyaga.
 
hamkisaidii chama mnazidi kukizamisha..mleta mada ametoa ushauri..nyie mnaishia kutukana...then who is stupid btn you idiot and the advisor who want to help you
Tena inaonekana mleta mada ni CDM anayekipenda kwa dhati na anayeona uchungu jinsi mambo yanavyokwenda hovyo chini ya kamanda MBOWE.
 
Mzee mbona unajiaibisha wewe mwenyewe? CDM kiko makini na kinaendelea vizuri sana!..hushangai serikali na ccm wanavyojichanganya kwa kuanza kubambikiza kesi kwa watu wasio na hatia? hivi huoni aibu inayozidi kumkuta spika anavyozidi kuyumba kwa kufanya maamuzi ambayo hayajawahi kuonekana popote duniani?...eti sheria inatungwa kwaajili ya kosa lililokwisha fanyika?.....umeyasahau ya Dkt. Ulimboka na mengine mengi ya aina hiyo?......hebu angalia njaa kubwa inayolikabili taifa wakati raisi wanchi akikurupuka kuropoka kuwa nchi haijamshinda kuongoza! AIBU SANA MKUU
 
Nimelike ilinikwambie kwamba, CHADEMA walikuwa wa kwanza kabisa kukataa wenyeviti wa Serikali za Mtaa kwa pamoja ambao ndio wanaounda Mabaraza ya kata kuteua Wajumbe wa KATIBA kiwilaya. CHADEMA ilishauri kwamba Wajumbe hawa wachaguliwe na Wananchi kama ilivyokuwa katika ngazi za Mitaa/Vijiji.

Pia CHADEMA walishauri Mwenyekiti wa Mabaraza ya KATIBA ngazi ya Wilaya asiwe Mkuu wa Wilaya. Kiufundi Mkuu wa Wilaya anatumikia chama chake katika wilaya husika hivyo kumfanya kuwa Mwenyekiti inaathiri sana maamuzi. CHADEMA walipendekeza Mkurugenzi Mtendaji ndo awe Mwenyekiti. Hayo ndiyo yalikuwa pia mapendekezo ya CUF, NCCR - Mageuzi, Upinzani kwa Ujumla na wananchi takribani milioni 25 wasiokuwa na vyama. Haya maamuzi ya tume ya katiba yalizingatia tu matakwa ya CCM ambao ni milioni 5 kwa mujibu wa takwimu zao za kuchakuchua.

Katika hali kama hiyo ulitaka CHADEMA wafanyeje??????TAFAKARI....CHUKUA HATUA....
 
Title na contents haviendani,waambie mod wakusaidie kubadiri taito iwe::Ushauri kwa CDM katika chaguzi zijazo.
 
mkuu watu huwa hawakubari ukweli ila ni ushauri wa kweli kwao but nani atapokea ushauri huu make cdm siyo chama make imekuwa kama (ngos) ya mbowe.
In bracket umemaanisha kitu gani hapo?
 

Unamaanisha CCM ya sasa under BMW (Baba,Mama na Watoto)....?
 
CCM na anguko la elimu, ufisadi umetamalaki, wabunge wa ccm kazi kugonga meza na kuunga mkono hoja kama mazuzu
 
Nawashangaa hiki chama ni kigeugeu; ushauri wa bure kwa CHADEMA; MTUMIE NGUVU KUBWA NA RASLIMALI ZILIZOPO KUJIIMARISHA VIJIJINI ILI MWAKANI MSHIRIKI VIZURI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KAMA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2015. Vinginevyo chama hakitaweza kuchukua serikali pasipo jitihada za kujiuza kwa wapiga kura!

Bungeni wabunge wa CHADEMA wamekuwa mstari wa mbele kuomba miongozo badala ya kujadili vipaumbele vya wapiga kura; Muda haupo upande wenu, jipangane kwa uchaguzi wa 2014 na 2015[/QUOTE]

Inaonekana hujapata habari za hivi karibuni. Kwa taarifa yako Chadema hata sasa inashinda serikali za mitaa. Ulizia Bumbuli na Mbulu na sehemu zingine nyingi tu, sasa hiyo mwakani ndiy sunami. Nia yetu ni kurekebisha nchi.
 

Chadema wana wabunge au wahuni tu wakipanga mauaji :-D

Eti mtu mzima na akili timamu, unajisifia msomi, kisha unasimama bungeni unasema kuwa eti wabunge nao waruhusiwe kuingia baraza la wakilishi zanzibar... Ndo msomi wa chadema huyo. Sasa baraza la wawakilishi ukamuwakilishe nani? Eti ooh majimbo ya zanzibar yanapata ruzuku mara 2, heh!!!! Kweli chama kimeishiwa na mijitu ilivokua mizombie yanapelekeshwa tu. Natamani ningekuwepi bungeni nikamjibu mimi binafsi! Au kama yumo humu Jf basi majibu yake ni kama ifuatavyo!

-kuhusu suala la uwakilishi,
Nataka anambia zanzibar anakuja kumwakilisha nani katika ishu za zanzibar?
-kama akitaka Wazanzibari wasiingie vikao vya bunge vinavyohusi tanganyika, basi waanzishe bunge liitwe bunge la tanganyika, lile la Dodoma ni la vikao vya Tanzania na sio tanganyika.

-kuhusu ruzuku ya majimbo.
Majimbo yanapata hela kutoka serikali ya zanzibar na ya muingano, sasa kama infekuwepo ya tanganyika pia majimbo ya bara yangepata mara 2, unaya uliopo ni kuwa hakuna tanganyika sasa unategemea fungu jengine litoke wapi?

Kwa hali hii CDM ni chama cha kishetani tu. kama mtanuna CDM nuneni... Lakini mshaishiwa tayari
 
nataka kuuliza wana jamvi, hivi kama huyu mchangiaji anatukana hvi halafu hajafungiwa na jf wala kupewa karipio kali, nikimtukana nitakuwa nakosea? Najua huyu jamaa anafanya kazi hii kwa malipo, lakini mimi nataka nijitolee kumshushua bila malipo? Mnasemaje wakuu?
 
Ninawasikitikia sana wachangia aji wa hii jamii forum. inajiita jamii forum, hamna chochote hapa, ukija na mada tofauti na ya kusifu chadema mnasema hawa wameongwa na ccm, hivyo basi hii si jamii ya chadema na sio wananchi, kwa hiyo ccm, cuf. hawatakiwi kuchangia, hii itasababisha hata huu mtandao ukose umaarufu kwani watakaochangia ni wale wanachadema tu??
 
Ninawasikitikia sana wachangia aji wa hii jamii forum. inajiita jamii forum, hamna chochote hapa, ukija na mada tofauti na ya kusifu chadema mnasema hawa wameongwa na ccm, hivyo basi hii ni jamii ya chadema na sio wananchi, kwa hiyo ccm, cuf. hawatakiwi kuchangia, hii itasababisha hata huu mtandao ukose umaarufu kwani watakaochangia ni wale wanachadema tu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…