Limevunda CHADEMA

nawasiwasi labda kwasababu binadamu mwenye akili timamu hawezi andika kitu cha namna hiyo. lazima awe chizi tu. kwana anazani sisi ndiyo machizi ili tuweze kaamini ushenzi wake.
siku hizi mirembe kuna computer lab??
 
MAFILILI nani amekuteua ili kuwa mshauri wa CHADEMA? Kama hakuna, hata wewe ni janga la JF.
 
kwahiyo wewe boya umeona slaa tu ndio chama kizima

kweli kiazi ni kiazi tu

dr slaa ndo mtaji wenu pekee uliobaki kutokana na kuungwa mkono na watu wanaokula ile kitu inatafuta chakula kwa pua
 
Ugaidi=Chadema=Demokrasia sifuri
 
Wafuasi wa CDM hawataki wapate taarifa yeyote nje na KUFAGILIA CHAMA CHAO, kubalini tathmini ya nje ili mpate mawazo mbadala na kujipanga kwa uchaguzi wa mwakani ambao ni msingi wa USHINDI wa uchaguzi mkuu wa 2015. Mmekalia kubisha pasipo kuangalia UHALISIA
 
Hii inaitwa character assassination! Shame on you! Gamba and RADICAL ISLAMIST!!!
 
dr slaa ndo mtaji wenu pekee uliobaki kutokana na kuungwa mkono na watu wanaokula ile kitu inatafuta chakula kwa pua
Kiazi mwingine huyu hapa! Hovyo kabisa! Hivi udini utawaisha lini? Kwanini msijadili Dr. Slaa kutokana na uwezo wake kitaaluma na kisiasa badala yake mnaingiza siasa za udini? Bure kabisa nyie CCM! Mbona CHADEMA hawawapingi kwa misingi ya udini? Mmelogwa na nani nyie manyang'au?

CCM mnapenda sana kula damu nyie, na ndiyo maana kila kukicha mnapandikiza chuki za udini ili watanzania wachukiane na kuuana. Hovyo kabisa Kikwete muasisi wa udini pamoja na wadini wenzake kama akina Atongwele na lukatony
 
Last edited by a moderator:
Mwenzenu Kakimbilia Uholanzi Kujitetea kuwa Nchi haijamshinda kama Vile wale Jamaa wa Uholanzi ndo walimwambia kuwa Nchi imemshinda

kati ya kinana na Slaa nani ameweza kueneza chama bila Rasilimali Fedha,KUISHABIKIA CCM LAZIMA UWE NA AKILI YA MAITI
 

be a man
 
kati ya kinana na Slaa nani ameweza kueneza chama bila Rasilimali Fedha,KUISHABIKIA CCM LAZIMA UWE NA AKILI YA MAITI

Mkuu,umenisoma lakini au ????
Au hujui ni nani kaenda Kujitetea Uholanzi???
 
Nyie pigeni kelelee tukanenii..chafueni chadema sisi ngome zenu tuna vunja, twanga kote kote...hakula kulala mpaka kielewe.
 
Hivi kweli wafuasi wa CCM wanaweza kuishauri CDM kiroho safi juu ya nani anafaa kuiongoza CDM!ni mojawapo ya maajabu ya dunia
 
Ha ha ha haaaa! Naona CCM wameshachanganyikiwa! Wanajitekenya na kujikuna wenyewe!! Wanatembea barabarani uchi wakijinadi eti wamevaa "suti maalum" zisizoonekana na "wabaya".
Wanaweweseka, wamejipaka kinyesi na wananuka kimavimavi; wamejikojolea kwa wizi, ubabe, ufisadi na sasa wanahunyahunya mithili ya kenge lililomeza yai lililochemshwa!
Hebu tazzma unafiki wa Polisi; juzi kulikuwa na mkutano wa wehu hawa wanaojifunika mabango ya kijani mithili ya shuka za kufunikia majeneza na kesho CHADEMA wakiomba kufanya mkutano wataambiwa Aah.... kuna habari za kiintelijensia kwamba hakutakuwa na amani! Wakifanya watapigwa risasi na watakaokufa watatajwa kuuwawa kwa risasi zilizorushwa na CHADEMA!
Hawa ni 'vibwetere' wanaotabiri kiama kila kukicha ambacho hakiji na kikija kitawafuta wezi hawa na vizazi vyao wasionekane kwenye uso wa dunia milele.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…