Mitakataka inaanzisha hoja za kijinga yenyewe na kutumia I'd nyingine kujisupport! Haya, saa hizi umeshachelewa nenda kesho asubuhi Lumumba ukalipwe 7000 yako.
Chadema kimejikuta katika kipindi kigumu, huku wasijue kwa kujishikia kabla la anguko kubwa la kisiasa kutokea. Chama kimekumbwa na masahibu makubwa hadi wanazidi kutapatapa kula kukichwa; hali mbaya ya kisiasa iliyopo CHADEMA imechangiwa na kukosekana kwa chombo cha sera ndani ya chama huku maamuzi ya chama yakitegemea utashi wa Mbowe. Hali iliyoko chamani, CDM ni kusikiliza tamko la Mwenyekiti na kulitekeleza pasipo kutafakari kupitia vikao vya kikatiba.
Chadema wakati huu wakitambua nchi ipo katika kipindi cha mchakato wa KATIBA, wametishia kujitoa katika mchakato huu; wamesahau wao walipewa fursa ya kutoa mwakilishi pia wakapewa ratiba nzima ya mchakato wakakubali. Sasa ni ajabu wamegeuka na kutishia kujitoa kana kwamba wao ni wadau BORA kwenye mchakato husika.
Nawashangaa hiki chama ni kigeugeu; ushauri wa bure kwa CDM; MTUMIE NGUVU KUBWA NA RASLIMALI ZILIZOPO KUJIIMARISHA VIJIJINI ILI MWAKANI MSHIRIKI VIZURI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KAMA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2015. Vinginevyo chama hakitaweza kuchukua serikali pasipo jitihada za kujiuza kwa wapiga kura!
Bungeni wabunge wa Chadema wamekuwa mstari wa mbele kuomba miongozo badala ya kujadili vipaumbele vya wapiga kura; Muda haupo upande wenu, jipangane kwa uchaguzi wa 2014 na 2015

mkuu hali ni mbaya sana kwa chadema, hapo juu hapo wamejaa wazee wa sanaa tu, hakuna hata binadamu mmoja mwenye potential katika safu ya uongozi, nawasikitikia sana wanaokishabikia chama kama hiki kisicho na mwelekeo hata kidogo, chadema wanadhambi ya kuwahadaa watanzania, shame on you guys..hamna hata aibu??
mwendawazimu mwingine huyo. sijui kaibukia wapi. ila nimeipenda sura yako pamoja na miwani yako. na mameno yako. kweli umetokelezea
Chama kimekumbwa na masahibu makubwa hadi wanazidi kutapatapa kula kukichwa
siku hizi mirembe kuna computer lab??
CHADEMA kimejikuta katika kipindi kigumu, huku wasijue kwa kujishikia kabla la anguko kubwa la kisiasa kutokea. Chama kimekumbwa na masahibu makubwa hadi wanazidi kutapatapa kula kukichwa; hali mbaya ya kisiasa iliyopo CHADEMA imechangiwa na kukosekana kwa chombo cha sera ndani ya chama huku maamuzi ya chama yakitegemea utashi wa Mbowe. Hali iliyoko chamani, CHADEMA ni kusikiliza tamko la Mwenyekiti na kulitekeleza pasipo kutafakari kupitia vikao vya kikatiba.
CHADEMA wakati huu wakitambua nchi ipo katika kipindi cha mchakato wa KATIBA, wametishia kujitoa katika mchakato huu; wamesahau wao walipewa fursa ya kutoa mwakilishi pia wakapewa ratiba nzima ya mchakato wakakubali. Sasa ni ajabu wamegeuka na kutishia kujitoa kana kwamba wao ni wadau BORA kwenye mchakato husika.
Nawashangaa hiki chama ni kigeugeu; ushauri wa bure kwa CHADEMA; MTUMIE NGUVU KUBWA NA RASLIMALI ZILIZOPO KUJIIMARISHA VIJIJINI ILI MWAKANI MSHIRIKI VIZURI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KAMA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2015. Vinginevyo chama hakitaweza kuchukua serikali pasipo jitihada za kujiuza kwa wapiga kura!
Bungeni wabunge wa CHADEMA wamekuwa mstari wa mbele kuomba miongozo badala ya kujadili vipaumbele vya wapiga kura; Muda haupo upande wenu, jipangane kwa uchaguzi wa 2014 na 2015

Mafilili ni mmoja wa watu ambao huwa nawaheshimu sana akiwemo ZeMarcopolo japo mpo against CHADEMA. Lakini katika hiyo hoja niliyoweka alama nyekundu, mzee umejishusha sana. Imeku-under-represent. Yaani umeonekana mweupe vibaya sana.CHADEMA kimejikuta katika kipindi kigumu, huku wasijue kwa kujishikia kabla la anguko kubwa la kisiasa kutokea. Chama kimekumbwa na masahibu makubwa hadi wanazidi kutapatapa kula kukichwa; hali mbaya ya kisiasa iliyopo CHADEMA imechangiwa na kukosekana kwa chombo cha sera ndani ya chama huku maamuzi ya chama yakitegemea utashi wa Mbowe. Hali iliyoko chamani, CHADEMA ni kusikiliza tamko la Mwenyekiti na kulitekeleza pasipo kutafakari kupitia vikao vya kikatiba.