Limevunda CHADEMA

Limevunda CHADEMA

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,377
Reaction score
1,200
CHADEMA kimejikuta katika kipindi kigumu, huku wasijue kwa kujishikia kabla la anguko kubwa la kisiasa kutokea. Chama kimekumbwa na masahibu makubwa hadi wanazidi kutapatapa kula kukichwa; hali mbaya ya kisiasa iliyopo CHADEMA imechangiwa na kukosekana kwa chombo cha sera ndani ya chama huku maamuzi ya chama yakitegemea utashi wa Mbowe. Hali iliyoko chamani, CHADEMA ni kusikiliza tamko la Mwenyekiti na kulitekeleza pasipo kutafakari kupitia vikao vya kikatiba.

CHADEMA wakati huu wakitambua nchi ipo katika kipindi cha mchakato wa KATIBA, wametishia kujitoa katika mchakato huu; wamesahau wao walipewa fursa ya kutoa mwakilishi pia wakapewa ratiba nzima ya mchakato wakakubali. Sasa ni ajabu wamegeuka na kutishia kujitoa kana kwamba wao ni wadau BORA kwenye mchakato husika.

Nawashangaa hiki chama ni kigeugeu; ushauri wa bure kwa CHADEMA; MTUMIE NGUVU KUBWA NA RASLIMALI ZILIZOPO KUJIIMARISHA VIJIJINI ILI MWAKANI MSHIRIKI VIZURI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KAMA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2015. Vinginevyo chama hakitaweza kuchukua serikali pasipo jitihada za kujiuza kwa wapiga kura!

Bungeni wabunge wa CHADEMA wamekuwa mstari wa mbele kuomba miongozo badala ya kujadili vipaumbele vya wapiga kura; Muda haupo upande wenu, jipangane kwa uchaguzi wa 2014 na 2015
 
Mitakataka inaanzisha hoja za kijinga yenyewe na kutumia I'd nyingine kujisupport! Haya, saa hizi umeshachelewa nenda kesho asubuhi Lumumba ukalipwe 7000 yako.

Wewe ni wale walio tayari kufa na Dr. Slaa na Mbowe hatakama unaona jahazi linaenda MRAMA, pole sana
 
Ni ujinga kabisa.NANI KAKUDANGANYA KUNA KUTAPATAPA CDM? WATU WENGINE HOVYO KABISA. LIMTU BADALA YA KUHANGAIKIA MITOTO YAKE ILE LINAKUJA KUANIKA UCHI WA AKILI YAKE MTANDAONI. YOU ARE USED BY MAGAMBA. UTATUMIWA NYUMA NA HATIMAYE MBELE. Ukishtuka huna nyuma wala mbele.
 
Mleta uzi MAFILILI nakuomba uwe na tafakari nzuri kabla ya kutuletea mawazo yako yaliyo na mchanganyo wa ufisadi!

Shwain sana wewe! Unasema limevunda! Ujaona palipovunda kumbe! Pole sana!
 
Last edited by a moderator:
mkuu hali ni mbaya sana kwa chadema, hapo juu hapo wamejaa wazee wa sanaa tu, hakuna hata binadamu mmoja mwenye potential katika safu ya uongozi, nawasikitikia sana wanaokishabikia chama kama hiki kisicho na mwelekeo hata kidogo, chadema wanadhambi ya kuwahadaa watanzania, shame on you guys..hamna hata aibu??
 
MAFILILI na ZeMarcopolo ndiyo mnaamka sasa hivi nini? kwa taarifa ya the big story ya leo ni LEMA KASHINDA RUFAA YAKE. NA MAGAMBA YA NATAKIWA KULIPA GARAMA ZOTE ZA KESI.
Hivyo kapigeni mswaki kwanza. kisha muanze kuongeo. for sure you are out of sense.
Chadema kimejikuta katika kipindi kigumu, huku wasijue kwa kujishikia kabla la anguko kubwa la kisiasa kutokea. Chama kimekumbwa na masahibu makubwa hadi wanazidi kutapatapa kula kukichwa; hali mbaya ya kisiasa iliyopo CHADEMA imechangiwa na kukosekana kwa chombo cha sera ndani ya chama huku maamuzi ya chama yakitegemea utashi wa Mbowe. Hali iliyoko chamani, CDM ni kusikiliza tamko la Mwenyekiti na kulitekeleza pasipo kutafakari kupitia vikao vya kikatiba.
Chadema wakati huu wakitambua nchi ipo katika kipindi cha mchakato wa KATIBA, wametishia kujitoa katika mchakato huu; wamesahau wao walipewa fursa ya kutoa mwakilishi pia wakapewa ratiba nzima ya mchakato wakakubali. Sasa ni ajabu wamegeuka na kutishia kujitoa kana kwamba wao ni wadau BORA kwenye mchakato husika.

Nawashangaa hiki chama ni kigeugeu; ushauri wa bure kwa CDM; MTUMIE NGUVU KUBWA NA RASLIMALI ZILIZOPO KUJIIMARISHA VIJIJINI ILI MWAKANI MSHIRIKI VIZURI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KAMA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2015. Vinginevyo chama hakitaweza kuchukua serikali pasipo jitihada za kujiuza kwa wapiga kura!

Bungeni wabunge wa Chadema wamekuwa mstari wa mbele kuomba miongozo badala ya kujadili vipaumbele vya wapiga kura; Muda haupo upande wenu, jipangane kwa uchaguzi wa 2014 na 2015
 
mwendawazimu mwingine huyo. sijui kaibukia wapi. ila nimeipenda sura yako pamoja na miwani yako. na mameno yako. kweli umetokelezea
mkuu hali ni mbaya sana kwa chadema, hapo juu hapo wamejaa wazee wa sanaa tu, hakuna hata binadamu mmoja mwenye potential katika safu ya uongozi, nawasikitikia sana wanaokishabikia chama kama hiki kisicho na mwelekeo hata kidogo, chadema wanadhambi ya kuwahadaa watanzania, shame on you guys..hamna hata aibu??
 
mwendawazimu mwingine huyo. sijui kaibukia wapi. ila nimeipenda sura yako pamoja na miwani yako. na mameno yako. kweli umetokelezea

siku hizi mirembe kuna computer lab??
 
Chama kimekumbwa na masahibu makubwa hadi wanazidi kutapatapa kula kukichwa

Kwa Sababu umeshindwa Kuyataja hayo Masahibu,umeishia Kupiga Domo tu, wewe Ni Lofa , Muflisi, Mtozeni na Hayawani Nambari wani kwetu sisi Wa Tanzania tupendao Mabadiliko ya Ukweli
 
Chadema chama cha kigaidi na genge la wahuni wenye masilahi yao,wadini sana hasa dr slaa na wafitini na wauaji,laiti Zitto angekuwa hatoki Kigoma wangeshamuua maana wanajuta mwanzo walivyomwingiza hawakujua kama anepe ndwa na watanzania wengi kuliko wao wakina mbowe!!!Babu yeye ni uzinzi na mzushi wake aliyemkimbia mume wake kwa tamaa zake,babu tabia ya uzinzi utahacha lini?umetelelekeza wanao uliozaa ukiwa bado padri.Mama Rose hana hamu na wewe ulivyomfanyia,umemgigida ukiwa padri na kumzalisha na akakutunzia siri,leo umemkimbia,shame on you.
 
CHADEMA kimejikuta katika kipindi kigumu, huku wasijue kwa kujishikia kabla la anguko kubwa la kisiasa kutokea. Chama kimekumbwa na masahibu makubwa hadi wanazidi kutapatapa kula kukichwa; hali mbaya ya kisiasa iliyopo CHADEMA imechangiwa na kukosekana kwa chombo cha sera ndani ya chama huku maamuzi ya chama yakitegemea utashi wa Mbowe. Hali iliyoko chamani, CHADEMA ni kusikiliza tamko la Mwenyekiti na kulitekeleza pasipo kutafakari kupitia vikao vya kikatiba.

CHADEMA wakati huu wakitambua nchi ipo katika kipindi cha mchakato wa KATIBA, wametishia kujitoa katika mchakato huu; wamesahau wao walipewa fursa ya kutoa mwakilishi pia wakapewa ratiba nzima ya mchakato wakakubali. Sasa ni ajabu wamegeuka na kutishia kujitoa kana kwamba wao ni wadau BORA kwenye mchakato husika.

Nawashangaa hiki chama ni kigeugeu; ushauri wa bure kwa CHADEMA; MTUMIE NGUVU KUBWA NA RASLIMALI ZILIZOPO KUJIIMARISHA VIJIJINI ILI MWAKANI MSHIRIKI VIZURI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KAMA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2015. Vinginevyo chama hakitaweza kuchukua serikali pasipo jitihada za kujiuza kwa wapiga kura!

Bungeni wabunge wa CHADEMA wamekuwa mstari wa mbele kuomba miongozo badala ya kujadili vipaumbele vya wapiga kura; Muda haupo upande wenu, jipangane kwa uchaguzi wa 2014 na 2015

mafilili anapost 18:25 zemarcopolo anachangia 18:26 duh kweli mmepania au ndo mambo ya 7000 per post?
 
Sijawahi kuona fikra finyu na mgando kama uhalisho hapo juu(siamini kama ni senior member anayetamka hivi),Mtatumia mda mwingi sana kuishusha chadema kwa mbinu nyingi,lakini hakika Magamba yatashindwa na makamanda watashinda!!
 
CHADEMA kimejikuta katika kipindi kigumu, huku wasijue kwa kujishikia kabla la anguko kubwa la kisiasa kutokea. Chama kimekumbwa na masahibu makubwa hadi wanazidi kutapatapa kula kukichwa; hali mbaya ya kisiasa iliyopo CHADEMA imechangiwa na kukosekana kwa chombo cha sera ndani ya chama huku maamuzi ya chama yakitegemea utashi wa Mbowe. Hali iliyoko chamani, CHADEMA ni kusikiliza tamko la Mwenyekiti na kulitekeleza pasipo kutafakari kupitia vikao vya kikatiba.

CHADEMA wakati huu wakitambua nchi ipo katika kipindi cha mchakato wa KATIBA, wametishia kujitoa katika mchakato huu; wamesahau wao walipewa fursa ya kutoa mwakilishi pia wakapewa ratiba nzima ya mchakato wakakubali. Sasa ni ajabu wamegeuka na kutishia kujitoa kana kwamba wao ni wadau BORA kwenye mchakato husika.

Nawashangaa hiki chama ni kigeugeu; ushauri wa bure kwa CHADEMA; MTUMIE NGUVU KUBWA NA RASLIMALI ZILIZOPO KUJIIMARISHA VIJIJINI ILI MWAKANI MSHIRIKI VIZURI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KAMA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2015. Vinginevyo chama hakitaweza kuchukua serikali pasipo jitihada za kujiuza kwa wapiga kura!

Bungeni wabunge wa CHADEMA wamekuwa mstari wa mbele kuomba miongozo badala ya kujadili vipaumbele vya wapiga kura; Muda haupo upande wenu, jipangane kwa uchaguzi wa 2014 na 2015
Mafilili ni mmoja wa watu ambao huwa nawaheshimu sana akiwemo ZeMarcopolo japo mpo against CHADEMA. Lakini katika hiyo hoja niliyoweka alama nyekundu, mzee umejishusha sana. Imeku-under-represent. Yaani umeonekana mweupe vibaya sana.

Hivi kwa kauli zile za akina Mwigulu ambazo hazina hata chembe ya ukweli unataka isiombwe miongozo? Kwa kauli kama za akina Serukamba, Kingwagallah na Silinde unataka isiombwe miongozo? Ulishawahi kuwasikia CHADEMA wakiomba miongozo dhidi ya Filikunjombe? CHADEMA wapo kwa ajili ya maslahi ya Tanzania na watanzania, kama CCM wangekuwa wanajenga hoja zenye nia ya kulijenga taifa hakuna mtu ambaye angeomba miongozo. Sasa akina Mwigulu kila wakisimama bungeni wanataja CHADEMA, utafikiri bungeni tumewatuma wakaijadili CHADEMA.

Inapotokea mtu anapotosha ukweli kwa maslahi ya chama badala ya kuangalia interest za nchi; kama ambavyo huwa anafanya Mwigulu au Wasira hivi kwanini wasiombe miongozo? Jaribuni wakati mwingine kushirikisha bongo zenu kabla ya kukurupuka na kuandika humu. Uandishi kama huu unawafanya mjidhalilishe, maana unawafanya muonekane kuwa ni watu mnayeyafikilia matumbo yenu tu na si taifa.
Be careful mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom