limbwata

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4,644
Reaction score
3,328
wadau,mnapata hisia gani toka kwa hii picha?

sio ndo sides effect za limbwata kweli?
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1366388537320.jpg
    9 KB · Views: 1,485
raha sana kuosha chupi ya demu wako....ila ukiwa tayari ulishamgegeda
 
hahahahah we umetokea wapi? kwani yeye hakufulii za kwako? kawaida sana hii
 
hizo ni akili mgando eti kufua chupi ya mkeo ni limbwata, hakuna raha kama hiyo ya chupi, ukimaliza kuifua theni unainusa raha iliyoje!
 
hujajua kapepetwaje mwenzio!! si ajabu mpaka kamtukana mzazi wake... sembuse kufua hizo nanihii...

kumbe,duh,kwahyo we unaona sifa kumdatisha mwanaume mpaka afike steji wa kumtkana mzazi wake?
 
Mbona kawaida tu...wenzenu wanafua hata mama akitoka kwenye uzazi sembuse hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…