Limbwata. . . !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Limbwata. . . !!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Imany John, Jul 30, 2011.

1. Imany John

Imany John Verified User

#1
Jul 30, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,776
Likes Received: 262
Trophy Points: 180
Inapotokea mwanamke katika familia ya wawili wapendanao ana sauti kuliko mwanaume(mumewe) na wanandugu wakaligundua hilo(hasa wa upande wa mume) huanza kulalama ya kuwa kalishwa kitu,mara sio bure,karogwa au kalishwa limbwata.

Ni kwa nini huwa wanafikiria ni limbwata na sio mapenzi ya mume kwa mke wake?na ndio maana anamtii mkewe kwa kufuata kila jambo analomwambia.
Nawasilisha.

2. Tango73

Tango73 JF-Expert Member

#2
Jul 30, 2011
Joined: Dec 14, 2008
Messages: 1,678
Likes Received: 34
Trophy Points: 135
Kwa kizungu mwananume wa namna hiyo huitwa-a henperked husband! ahusband who canot disagree with his wife. Lakini huku Africa inakuwaga too much. Nimewahi kufanya kazi idara moja na jamaa na mkewe. Mkewe alikuwa anatembea na jamaa mle mle ofisini na jamaa mwenye mke ndio mpole na mkimyaa sana . Halafu huyo jamaa aliyekuwa anatembea na mkewe alikuwa na sifa chafu chafu za kependa kinky sex. Kinky sex ni sex sex chafu chafu tuu zisizo na adabu .Sasa sijui jama yangu hayo yalikuwa mapenzi kupita kiasi au ndiyo hayo hayo ya uwoga wa kumkalipia mkewe.

3. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#3
Jul 31, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,465
Trophy Points: 280
sasa hapa sijakuelewa unazungumzia hao mtu na mkewe ni wazungu au ni wa hapa tz??????

4. MwanajamiiOne

MwanajamiiOne Platinum Member

#4
Jul 31, 2011
Joined: Jul 24, 2008
Messages: 10,478
Likes Received: 82
Trophy Points: 145
Dia Limbwata kwa mwanaume ni mapenzi ya mkewe..........limbwata liko kwenye heshima, upendo na amani pamoja na ushauri apatao mume toka kwa mke. Vitu vinavyomfanya amthamini mkewe na kumsikiliza. Ninachoshindwa kuelewa ni kuwa kama mume kamsikiza mkewe wao wanaumia, walitaka awasikize wao?! ah

5. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#5
Jul 31, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,465
Trophy Points: 280
ukiishi maisha ya kiswahili ndo hivyo
dawa hakikisha unaishi maisha ya kuwa busy
wewe na mkeo na ndugu zako pia watafutie kitu cha kuwafanya wawe busy na life zao
wasipate mda wa kuyafuatilia maisha yako

6. nyumba kubwa

nyumba kubwa JF-Expert Member

#6
Jul 31, 2011
Joined: Oct 8, 2010
Messages: 10,278
Likes Received: 1,716
Trophy Points: 280
Ni kweli kuna wanaume hawawezi sema neno kwa wake zao. Hii si mbaya ni mbaya tu pale mke anapo take advantage ya kupendwa. Tuna mama jirani ya mama yangu tumemzika siku si nyingi; huyo mama ni mama wa nyumbani lakini nasikia alikuwa anafanya kazi before akaacha kwa kuwa mumewe mambo si mabaya na yeye elimu yake si kubwa hivo kazi ilikuwa kama hailipi.

Mumewe amekuwa akimfungulia biashara za hapa na pale ingawa nyingi amekuwa hawezi kuziendeleza kwa hiyo in short mume alikuwa anamtunza wife kikamilifu. Huyu mama yani ni bad news. Vijana mtaani kamaliza. Wazee macho juu kamaliza.

Yani nakumbuka kabla sijaolewa wakati wanajenga nyumba yao yeye anasimamia kuna kijana fundi alitusimulia mama alimwita chumbani na kumlazimisha wa do akakataa. Can you imagine. Na sidhani hata kama ndugu wa mumewe walikuwa na uthubutu wa kumwambia ndugu yao kwani mama ni sterling ndani.

Watu walikuwa wanasema jamaa kalishwa limbwata eti kwa sababu huyo mwanamke anatokea mkoa maharufu kwa karumanzira; ila mimi nilikuwa najua wazi si limbwata ni penzi limekolea maana yani anavyo behave akiwa na mumewe unaweza sema huyu mwanaume ameokota wapi changudoa.

Ni mapenzi moto moto hadharani; kumbe masikini ya Mungu na huko nje ni the same. In short amekufa siku si nyingi na ni baada ya kuugua muda mrefu. Ni wale wamama ambao watu walikuwa wanasema kama fulani ni mzima hamna huu ugonjwa. Hili gonjwa lipo na kama mtu hutulii ni just a matter of time!

Namsikitikia huyu mumewe maana nasikia amepandishwa cheo juzi juzi ni bonge la bosi sasa.

7. Imany John

Imany John Verified User

#7
Jul 31, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,776
Likes Received: 262
Trophy Points: 180

Sijakuelewa wajua?

8. Imany John

Imany John Verified User

#8
Jul 31, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,776
Likes Received: 262
Trophy Points: 180

Mmmmmmmm hapa sina la kusema

9. Imany John

Imany John Verified User

#9
Jul 31, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,776
Likes Received: 262
Trophy Points: 180

Maisha ya kiswahili yapo vip na ya kizungu yapo vip?

10. Imany John

Imany John Verified User

#10
Jul 31, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,776
Likes Received: 262
Trophy Points: 180

Ooooh!! ili nalo ni neno.

11. Tulizo

Tulizo JF-Expert Member

#11
Jul 31, 2011
Joined: Jun 13, 2011
Messages: 849
Likes Received: 21
Trophy Points: 35
Ndugu yangu LittleX, Limbwata ni fikira ya mimi na wewe na sio wanandoa. Limbwata ni vile mimi na wewe tunavyoingilia maisha ya watu na kuamua jinsi ya wao wanavyotaka waishi. Je.. umeshasikia mwanaume au mwanamke anatangaza kesi eti amelishwa limbwata? Mara nyingi ni ndugu, marafiki, magazeti ya uwazi ndio ambao wanachakachua maisha ya watu na kumalizia eti fulani amelishwa limbwata.

Kila wanandoa wana-style au utaratibu wa maisha yao ambao si lazima ukubalike na mimi, wewe, shangazi, baba, etc.. Jinsi utakavyoutazama wewe ..utakuwa unabaki wako na mtazamo wao utabaki kuwa wao kwani wao ndio wanandoa na wala sio mimi, wewe au ndugu na jamaa.

Njoo nyumbani kwangu uone navyochacharika..halafu uniambie nimepata limbwata..kabla mimi sijakutoa mkuku..mtoto wangu atakuwa ameshafungulia mbwa ..kabla hata mke wangu hajasema kitu..Labda utasema limbwata limehamia hadi kwa watoto..(joke)

12. Imany John

Imany John Verified User

#12
Jul 31, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,776
Likes Received: 262
Trophy Points: 180

Hope kuchacharika kwako home kunaenda sambamba na kuosha masufuria,kumfulia wife kupika thats gud,tunaitaji wachakarikaji kama TULIZO.

13. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#13
Jul 31, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135
Limbwata na Mapenzi ni vitu viwili tofauti.. Katika Mapenzi/Mahusiano doubts na malalamiko ya wanandugu kwa wanandoa huwa ni ndogo, na mara nyingi husababishwa na wanandoa kutotoa support kwa ndugu zao hususani katika mambo ya fedha. Ni malalamiko ya kawaida!
Limbwata linapotokea humfanya mwanaume awe kama mtumwa ndani ya nyumba, hukosa kauli mbele ya mkewe na hufikia hatua ya kupigwa vibao au kufokewa mbele ya watu. Hufanyishwa mashughuri kibao ya nyumbani yasiyoendana na taaluma zao. Mwanamke huwa kama chui mtawala, hufanya chochote atakacho pasipo ingiliwa na mume. Limbwata sio mapenzi, na kama mwanandugu nakushauri uonapo nduguyo amekamatwa kwa Limbwata unatakiwa umsaidie hata kwa kumnasua katika hili.

14. LiverpoolFC

LiverpoolFC JF-Expert Member

#14
Jul 31, 2011
Joined: Apr 12, 2011
Messages: 11,001
Likes Received: 153
Trophy Points: 160
Mmmmhh! Mambo ni mengi wajamen. Nimepita tu!

15. afrodenzi

afrodenzi Platinum Member

#15
Jul 31, 2011
Joined: Nov 1, 2010
Messages: 18,135
Likes Received: 2,398
Trophy Points: 280
fikra finyu .....

16. MwanajamiiOne

MwanajamiiOne Platinum Member

#16
Jul 31, 2011
Joined: Jul 24, 2008
Messages: 10,478
Likes Received: 82
Trophy Points: 145
Hivi hakunaga tafsiri chanya juu ya Limbwata? ..................mimi nafikiria kama inawezatafsirika kwa .I will do anything to be with you!!. ..........kama inawezekana jamani naiombeni na mie nimwekee mwandani wangu!!

17. Desidii

Desidii JF-Expert Member

#17
Jul 31, 2011
Joined: Oct 2, 2007
Messages: 1,212
Likes Received: 5
Trophy Points: 135
Hivi limbwata ndo nini au naweza pata tafsiri yake?

18. Imany John

Imany John Verified User

#18
Jul 31, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,776
Likes Received: 262
Trophy Points: 180

FF ATATOA TAFSIRI SAHIHI YA LIMBWATA.

19. m

mtanzania1989 JF-Expert Member

#19
Jul 31, 2011
Joined: May 20, 2010
Messages: 2,139
Likes Received: 1,703
Trophy Points: 280
Hivi mwanamke naye akiwa anafuata kila kitu tu anachoambiwa , ila nalo si Limbwata ?

20. Imany John

Imany John Verified User

#20
Aug 1, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,776
Likes Received: 262
Trophy Points: 180

Mi nadhani ilo ndo jukumu lake

Loading...