Limbwata limekolea hapa

kwani hawa watoto ni wa wanawake tu aghrrrrrrrrrrrr bebeni watoto wenu wafahamu uwepo wenu asee
niemchokoza kuona wanaume watasemaje hapo na asante kwa uchambuzi wako
 
you said it correctly Kabanga
 
siku hizi haki ni sawa.... sio ooh mwanaume suruali hana hela (sawa wababa nao wanafanya kazi zilizo dhaniwa ni za kina mama, na kina mama nao wafanye kazi wanazo dhani ni za kina baba )
 
siku hizi haki ni sawa.... sio ooh mwanaume suruali hana hela (sawa wababa nao wanafanya kazi zilizo dhaniwa ni za kina mama, na kina mama nao wafanye kazi wanazo dhani ni za kina baba )
kwa hilo pozi HAPANA aisee
 
Ila kweli wanaume hatupendezei hizi mambo basi tu tunalazimisha kwa kufarijiwa eti haki sawa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…