Limbwata bila shaka

Labda ungenithibitishia wewe miss-mbeyaningeamini..mana cjaona mimi- mana hata wenyeji wenyewe wa mbeya wasafwa hawana kitu iyo.

Kaka wasafwa ni moja la kabila linalotokea mkoa wa mbeya lakin uwezi kusema wao ndo wenyeji,kuna wanyakyusa nafikili ndo wenye mkoa wao
 
Last edited by a moderator:
Kaka wasafwa ni moja la kabila linalotokea mkoa wa mbeya lakin uwezi kusema wao ndo wenyeji,kuna wanyakyusa nafikili ndo wenye mkoa wao

we uijui mbeya vizur kaa kimya waache wanaoijua mbeya waje watete!

kwa iyo tukuyu ni mbeya au sehem ya mbeya?

mbeya namaana mbeya mjini.
wilaya mbeya mjini na vijijin wenyej wake ni wasafwa, wilaya ya mbozi wanyiha ambao bado chmbuko lao ni wasafwa. wilaya ya tukuyu na kyela uko ndo wanyakyusa chmbuko lao.

ndio wanyakyusa ni weng lakin usiweke kgezo kua ndo wenyej wa mbeya.
wafwatilia hata mana ya jina mbeya ndo urudi tena..
mbeya mjini ni yawasafwa wamalila na wanyiha japo wenyej huwa hawatak kukaa sebulen wanawaachia wagen ndo mana utakuta wamejaa uyole, uje mblzi miliman na uporoto..

wanatabia moja adim sana . mji ukitanuka wanasogea pemben
 

Ahsante sana Kwa kunielewesha ndugu maana me nilikuwa najua wanyakyusa ndo wenye mbeya maana kila kitu ni wao kuanzia elimu,utendaji na karibia vyote ndo nikajua ndo wanawakilisha mkoa,sasa kuhusu hao wasafwa nasikia wachawi sana,ni kweli???na wanyiha ndo wale wachuna ngoz za watu au????mbeya ina maana gani??
 
Namkubali jamaa majukumu kusaidiana
 
Ahsante sana Kwa kunielewesha ndugu maana me nilikuwa najua wanyakyusa ndo wenye mbeya maana kila kitu ni wao kuanzia elimu,utendaji na karibia vyote ndo nikajua ndo wanawakilisha mkoa

ndio lakin wao wapo pembezon mwa mbeya sana tu. Waliopo center ya mbeya ni wasafwa. (mbeya mjin)wamalila(mbeya vijijini-mbalizi).
kiroboto21 said:
Sasa kuhusu hao wasafwa nasikia wachawi sana,ni kweli???
Hapana si kwel uchawi upo makabila yote ila sijajua nani anaongoza kwa mbeya wanaweza chuana.
kiroboto21 said:
Na wanyiha ndo wale wachuna ngoz za watu au????
ndio, lakin ni myaka ya nyuma uko 90s, kutokana na iman za kishirikina na weng wao ni wagen walioamia mbozi mjin tunduma kwa ajili ya biashara. wakiwemo wakinga na n.k., kwa sasa hakuna mambo iyo karibu usijeogopa.
kiroboto21 said:
Mbeya ina maana gani??

ahsante kwa swal zur ambalo ndo maada yenyewe
Jina la Mbeya limetokana na neno la kisafwa "Ibheya" ambayo maana yake ni chumvi kwani miaka mingi wafanyabiashara walikuwa wanafika mahali hapo kubadilishana mazao yao kwa chumvi.
Mji wa kisasa wa Mbeya ulianzishwa na wakoloni Waingereza mnamo mwaka 1927. Wakati ule dhahabu ilianza kupatikana katika mlimani karibu na Mbeya hadi Chunya.

Pia waweza pitia hapa
ijue mbeya

karibu mbeya kiroboto21,
kituo cha reli tazara.
Na hapa ndo rungwe kwa wanyakyusa.
 
Last edited by a moderator:

Ahsante man
 
Wanawake usawa hautafutwi hivi jamani

Hakuna limbwata linaloweza mfanya mwanaume abebe mtoto mgongoni bali huyo jamaa ana matatizo yake ambayo ni ngumu kufahamu!!

Ningekuwa mimi ndio huyo jamaa ningeonyesha upendo kwa huyo mtoto kwa kumbeba begani.
 
Wewe ni baba wa aina gani, kama kuwajibika kwa mtoto wako unaona limbwata nawaonea huruma hao watoto wako nyumbani

Hapo suala sio kuwajibika bali ni namna ya kuwajibika!! Wanaume tunabeba watoto begani na wala sio mgongoni.
 
Sasa wakati unamtia mimba mbona hauubeba na wewe ujauzito kidogo.Kulea sharti kusaidiana sema inakutatiza jinsi alivyombeba mwanae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…