Limbu: Zitto ajiunga ACT Tanzania Kinyemela

Limbu: Zitto ajiunga ACT Tanzania Kinyemela

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,430
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Bwana Limbu amesema Zitto hakufuata utaratibu wa kujiunga na chama hicho.
Source: Taarifa ya habari Clouds FM
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndo umeandika nini?!! unategemea hata sisi tunaouza nyanya tusikilize au sijui tutazame hiyo stesheni ?!! Kama huna habari kamilifu si ungeacha tu.
 
Pole na safari mkuu!!uliondoka TZ kabla ya mwaka 2009 nadhani
 
hata mimi nimemsikia mwigamba akiongea clouds radio 2day .........ngoja tuone mwisho wa hiki chama magumashi
 
Mbona CHADEMA wanasema ACT imeasisiwa na Zitto?

Kuasisi hakukulazimishi kujiunga, unaweza ukajenga nyumba lakini usiishi wewe humo, kaasisi ndio lakini ACT hawatoi kadi usiku na ofisi zao huwa hazifunguliwi usiku why ZItto apewe kadi usiku? na utakuta alisahau hata kuilipia.
 
Back
Top Bottom