Lilifanyika hili? Kama lingefanyika lingekuaje?

michelle we kiboko,cku pesa zikiisha utamkimbia?

Ha ha ha ha ha haaaaaaaaa,nimetania mpenzi.....i wish iwe kweli........lol,singekimbia kwakuwa nami uwezo wa kutafuta ninao ningebaki nae tu....ila ningependa kujua ye ananipendea nini?
 
human being are living beings, not static beings. unaweza leo ukapendea sura ukamwoa, nadani ya ndoa ukaanza kumpendea upishi wa chakula, baadaye mtindo fulani wa nywele ukaingia akaanza kutengeneza nwyele zake, ukajikuta tena umempendea hizo nyewele. mkijaaliwa watoto akawa mlezi mzuri, ukampendea na hilo nk. utajikuta siku moja ulna maeneo zaidi ya mia unayompendea japo mwanzoni ulikuwa na eneo moja tu. as life goes on baadhi ya maeneo yanabadilika, utataka adjustments lakini mengine ni unadjustable. ni mikanganyoiko mitupu. trust in the Lord bro. human wisdom do not last longer, it withered within the moment
 
mi hata sijui nampendea nini yule baba,nimetafuta kila sababu inayonifanya nimpende lakini nimekosa,ila nampenda to death.
sio mzuri
hana hela(masikini, santa claus hajanipa zawadi ya maana)
ana watoto wanne(na mke wake walioachan)
ameachishwa kazi, sasahivi ni kama deiwaka tu
amesha dirvoce(after he cheated his wife to another woman,not me)
sometime mkorofi
sio mjuzi kwenye 6 kwa 6
he is older than me, 10 yrs older
but jamani nampenda kufa,hata wanaume wengine siwaoni,namuona yeye tu dunia yote,we are not living together,kila mtu anaishi kwake,miji tofauti,ananitembelea kila weekend or after 2 week
 
This is very interesting. I like it
 
Nimekuaminia
 
wangu nilimpenda ni mrefu kama mimi. Miguu minene. Mat*k* unaweza kuketi usianguke. Ila mchezo si mshambuliaji mzuri. Nae anajua tangu mwanzo nilimwzmbia hilo.
Japo ana wivu kwangu zaidi.
 
Jichunguze mwenyewe kipo kinacho kuvutia.
Huyo si mchovu mamaa...anaweza kuja every week-end frm another mji...ha ha ha!
Icheki tena hiyo!
 
c ulisema jogoo halikwei?
 
c ulisema jogoo halikwei?

Nashangaa sana hata mimi,manake kule anaomba msaada hadi ukamshauri anywe juice ya machungwa huku anatuambia si mchezaji mzuri demu wake,sijui labda anamaanisha nini i mean uchezaji ni upi kabla sijamsaidia zaidi na mimi?:car:
 
Ilikua kabla ya hilo tatizo jameni!
 
Jichunguze mwenyewe kipo kinacho kuvutia.
Huyo si mchovu mamaa...anaweza kuja every week-end frm another mji...ha ha ha!
Icheki tena hiyo!

sasa si uulize anapata wapi hizo za kutoka mji hadi mji? hiyo deiwaka aliyokuwa nayo ni mambo ya computer,project zake zime based kwenye mji ninaokaa,kwahiyo akisafiri analipwa,na ukiona amaekaa mwezi hajaja,basi ujue hamna project.
anyway,nikimaliza chuo nitahamia,sasa unadhani nifanyaje na moyo ndio umeshamuangukia?
 
Love has a reason. When you love without knowing a reason then that is the reason.
 
Mambo hubadilika ndani ya ndoa.
Nilikupenda wakati huna kitambi sahivi umeota kitambi hicho.
Mdada umejiachia umevimbiana wakati ulipendwa wakati una slim figure.
Umenikuta navaa vipedo unaniambia nivae hijabu, nywele ninyoe, pombe nisinywe.
Migogoro inaanza pale tunapotaka kubadilishiana utaratibu wa kuishi au unajibadilishia mwenyewe utaratibu uliokuwa nao awali.
 
Ha ha ha ha ha haaaaaaaaa,nimetania mpenzi.....i wish iwe kweli........lol,singekimbia kwakuwa nami uwezo wa kutafuta ninao ningebaki nae tu....ila ningependa kujua ye ananipendea nini?[/QUOTE]

macho yako, sauti yako na mapozi yako.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom