The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,195
- 3,309
Yaani mtu amekabidhiwa TBC, chombo cha habari kikubwa halafu kwenye kuaga baada ya kukalia kiti miaka 10 anashukuru hakutumbuliwa na anaenda mbali zaidi eti anawananga wabaya wake hivi kweli? Mtu wa level ya Ryoba!?
Kwa dhamana aliyokuwa nayo kwa Taifa na usomi wa kuitwa 'Dr' inawezekana kweli? Badala ya kuja na tathmini ya mafanikio mliyoyafikia na changamoto zinazowakabili, unakuja na mambo ya uswahilini.
Kama hawa ndio wasomi tunaowategemea kuleta mageuzi, basi nchi isahau kabisa maendeleo.