Miminiliwahi kuwa na mawazo angalau kuwa member wa Jamii Forum ni
1. Kunapimwa Akili.
2.kufanyiwa Interview.
3. Kulipia Uzi ama Comment.
4. Kuchangia hela za kuwa mwanachama nk.
Jitu linaamka asubuhi asubuhi na kuanza kusema watu kisa mambo ya kipumbavu ya simba na yanga Aibu kweli kweli.
Haya ndio yale yaliyotoka kwenye vijiwe vya kahawa yakahamia hapa.