Likud akimbia bili bar

Fateema

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2024
Posts
599
Reaction score
1,062
Duh nimesoma hii comment ya LIKUD akielezea hatua aliyo ichukua baada ya mpenzi wake kuja na " behewa" kwenye mtoko nacheka mpaka machozi. Comment yenyewe ni hii hapa chini👇👇

 
Ndio maaana anatushashiwi turudishe watoto Kayumba
Hataki kuongeza kipato anataka kupunguza matumizi
 
Huyo jamaa LIKUD ana njaa njaa sana hawezi hayo mambo ya,hayo ni mambo ya mzabzab huyo mpenzi ndio angekiona yeye na hao rafiki zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…