12/04/2019.....Mpaka tarehe 29/04/2019Naomba kufahamishwa likizo ya pasaka kwa wanafunzi wa sekondari na shule ya msingi inaanza tarehe ngapi hadi ngapi
Nawasilisha
Acha uongo, ipo saana ndio maana mwaka huu likizo ni tarehe 12 had 29 . Ina maana wakifungua wanasoma wiki mbili au tatu kisha wanapiga terminal au annual tena wanafunga likizo ndefu. Wangekua hawafati pasaka wangefunga march maana ndio midterm ya ukwelikwa shule za serikali hakuna likizo ya pasaka,wao wameset muda wao wa likizo kwa terms na midterms,sometimes hiyo pasaka inawakuta shuleni ila huwa wanapewa siku mbili za mapumziko kama ikitokea hivyo.
kwani walifungua shule tar ngapi?Acha uongo, ipo saana ndio maana mwaka huu likizo ni tarehe 12 had 29 . Ina maana wakifungua wanasoma wiki mbili au tatu kisha wanapiga terminal au annual tena wanafunga likizo ndefu. Wangekua hawafati pasaka wangefunga march maana ndio midterm ya ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na yote bado haiitwi likizo ya Pasaka.Acha uongo, ipo saana ndio maana mwaka huu likizo ni tarehe 12 had 29 . Ina maana wakifungua wanasoma wiki mbili au tatu kisha wanapiga terminal au annual tena wanafunga likizo ndefu. Wangekua hawafati pasaka wangefunga march maana ndio midterm ya ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo, ipo saana ndio maana mwaka huu likizo ni tarehe 12 had 29 . Ina maana wakifungua wanasoma wiki mbili au tatu kisha wanapiga terminal au annual tena wanafunga likizo ndefu. Wangekua hawafati pasaka wangefunga march maana ndio midterm ya ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app