KIBONGOMKUTI
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 1,425
- 616
akhu mi likizo sitaki sitaki!ili kiwe nini?hiyo vacation muende wenyewe!Nimetumia muda mwingi kutafakari mahusiano ya wapendanao hatimae ninashawishika kuamini kuwa kuna haja ya kwenda likizo ya mapenzi kwa wapendanao. Jaribu, kufikiri busara ya kuwepo kwa likizo Shuleni, Vyuoni, Ofisini na kwingineko. Likizo zitasaidia wana ndoa kutafakari mustakabali wao pia kujirekebisha uhenda hali ya upweke wa kuwa peke yako ikaongeza chachu ya penzi na thamani ya mwenza wako!
akhu mi likizo sitaki sitaki!ili kiwe nini?hiyo vacation muende wenyewe!
akhu mi likizo sitaki sitaki!ili kiwe nini?hiyo vacation muende wenyewe!
Jamani wanandoa hutakiwa kuwa pamoja kumbuka Adam na Hawa walipotengana kilichotokea kila mtu anafaham
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mtoa mada, vipi unajiona kama umechokwa au wewe ndiyo umemchoka mwenzi wako, hivyo unahitaji ku-renew? Mimi wangu sitaki nimpe nafasi asilani.
very very true
wanasema 'how will i miss you,if u always here'?
so kupeana space na kupunguza kuwepo husaidia mno
watu ku miss ana na kutamaniana....
so ni true hii kitu ni muhimu...
kwa mwanaume inawezekana lakini hawa dada zetu sidhani kama wanaweza.. Ni idea nzuri
Issue ni kuaminiana tu
tatizo ndio liko hapo..
kama ni suffocation kwa hiyo ndo ukatafute pa kupumulia!ah sitaki haya matani!yani mambo ya mahabaty mi najua unataka muwe benet sasa haya ya kuhis umebanwa mpka utafute pa kupata hewa safi lazima kuna tatyzo hapo!love suffocation ?lol