Sidhani kama mtoa mada ana mwanafunzi. Angekuwa naye asingeweza kutoa kauli kama hizo. Masomo ya ziada wazazi ambao tupo serious tunayataka. Halafu watoto kuzurura mitaani kuna athari mbaya kimasomo na kimaadili.Hebu tulia kwanza!. Af tuambie unacholalamika ni likizo, Pasaka au Watoto kusoma?
Mzazi SI mtaalamu wa saikolojia ya mtoto Wala SI mtaalamu wa elimu wakulaumiwa walimuWazazi wengi nao ni wale wale mkuu, wazazi wengi haya hawayajui kabisa ni fullu Vihiyo, ndo hawa watoto wao wa Chekechea eti wakifunga wanaenda tuition, au watoto usiku hawalali wanafanya Homework maswali 60, na mazazi anajisifu kumbe ujinga.
Wazazi ndo wa kulamumu na sio walimu
🤣 🤣 🤣 🤣 we jamaa banaUmetuacha imara
Mpango imara!!Umetuacha imara
PhD imaraMpango imara!!
Makamu imaraPhD imara
Elimu ya Urusi unataka kuifananisha na Elimu ya Tanzania?Huyo mwalimu alikuwa sahihi kwa muktadha wa alikosomea.Kuna shule nilisomaga sasa mkuu wa shule alisoma Urusi, aiseee yaani Siku ya kufungwa shule alikuwa anatutangazia kabisa nendeni mkapumzike,
Alituambia wazi, likizo ni swala la kisayansi, kupumzisha ubongo, alikuwa hata hata tukasome Tuition alitaka tupumzike kama ni kutembelea ndugu tukatembelee,
Hakukuwaga na sijui kidsto cha nne au cha sita wabaki wakati wa likizo hio biashara alikuwa hataki kabisa
Wabaki kwa gharama za nchi, na sio kwa mia mbili, tatu tano au elfu ya mzazi!!Elimu ya Urusi unataka kuifananisha na Elimu ya Tanzania?Huyo mwalimu alikuwa sahihi kwa muktadha wa alikosomea.
Unafahamu kuna vipindi vingapi wanafunzi walipoteza robo muhula uliopita?
Unajua mipango ya walimu kufidia upotevu huo?
Unajua hata waalimu wanahitaji kupumzika?
Hata hivyo hukuna ulazima kama unaona huhitaji mtoto wako kubaki shuleni wakati wa likizo,watoto hawafanani
Ninahisi unademu mwanafunzi!Faida gani? Ndo mnavyo danganywa kwamba January hadi December mtoto anatakiwa kusoma tu?
Mtoto kama hana akili hana, na likizo ni ishu ya kisayansi ndo maana zikawepo likizo, ndo maana makazini pia kuna likizo,
Ufaulu ulikuwa aje?Kuna shule nilisomaga sasa mkuu wa shule alisoma Urusi, aiseee yaani Siku ya kufungwa shule alikuwa anatutangazia kabisa nendeni mkapumzike,
Alituambia wazi, likizo ni swala la kisayansi, kupumzisha ubongo, alikuwa hata hata tukasome Tuition alitaka tupumzike kama ni kutembelea ndugu tukatembelee,
Hakukuwaga na sijui kidsto cha nne au cha sita wabaki wakati wa likizo hio biashara alikuwa hataki kabisa
Wiki mbili sio wiki mojaNapingana na wewe
Mapumziko yana mchango mkubwa sana kwenye ufaulu.
Hasa kwenye sikukuu kama hizi isitoshe ni wiki moja tu.
Take it from me...