Likizo bila malipo

slmmfm

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
304
Reaction score
65
Hivi mtumishi wa uma espacially mwalimu anapoamua kuomba ruhusa isiyo na malipo kipi kibaya kinaweza kutokea kwake. Pia naomba ufafanuzi kwa mambo yafuatayo
1. Kuna ugumu wowote ktk kupata likizo ya aina hyo?
2. Je, mtumishi anaweza kupoteza ajira yake kutokanana likizo hiyo?
3. Unaruhusiwa kuomba likizo isiyokua na malipo kwa zaidi ya miaka mitatu?
4. Je, kuna ugumu wowote pale ninapoamua kuludi kazini baada ya likizo yangu isiyo na malipo kuisha?


ALL THE BEST
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…