Like mother like daughter?

Like mother like daughter?

kweli jf kila mtu ni mtakatifu ,hizi ishu za kutoroka nyumbani na kulala kwa wanaume mbona ni common sana kwa watoto wa kike kila wapatapo nafasi.

Una maana kwa sababu tabia za kutoroka na kulala kwa wapenzi ni common basi tuzihalalishe ziwe TAKATIFU? tabia mbaya zitasemwa na kupigwa vita siku zote hata kama zinafanywa na wengi.
 
Mimi ni mkaka mwenye miaka 27 nilikutana na mdada mwenye miaka 24 facebook tukaanza kuchat na hatimaye tukafikia uamuzi wa kua wapenzi. Aliniambia hakuna kwenye mahusiano kama nilivyokua mimi. Siku aliyokuja kwangu kulala alikuja kwenye saa tatu usiku, nikamuuliza leo imekuaje hadi amepata muda wa kuja kulala kwangu akaniambia baba yake amesafiri, nikamuuliza kuhusu mama yake akanambia nae ameenda kwa marafiki zake. Nikawa na swali linaumiza kichwa kua paka akitoka panya anajitawala? Tukiwa bado tunaendelea na maongezi ya hapa na pale mama yake akampigia simu kuwa amuandalie nguo kwa ajili ya kesho kazini, atazipitia saa kumi na mbili wakati anaenda kazini. Nikamuuliza kwa hiyo mama harudi nyumbani leo akanijibu ndio maana yake, hawezi kurudi kwa sababu baba hayupo. Ilibidi aondoke usiku huo huo maana alikua hana jinsi ya kulala wakati mama yake atapita mapema.

Je huyo anafaa kua mke maana toka nilivyojua tabia ya mama yake na yeye sihitaji hata kumuona. naomba mnishauri nifanyeje?

kama unaamini mtoto wa nyoka ni nyoka piga chini mapema,,, ;lakini inaweza kua tabia ya mama 2 na mtoto akawa poa
 
huyo ukimuoa atashiriana vema na mama ake kukutoroka.....
bila shaka atakuwa anasema yupo kwa mama!!!!!!!
 
Una maana kwa sababu tabia za kutoroka na kulala kwa wapenzi ni common basi tuzihalalishe ziwe TAKATIFU? tabia mbaya zitasemwa na kupigwa vita siku zote hata kama zinafanywa na wengi.

tatizo mnaexpress km vile wote hapa ni watakatifu............... siwezi nikamuhukumu mwanamke kwa kutoroka kwao na kwenda kwa mpenzi wake ,,,,,mwisho wa siku tutakosa wa kuoa sasa.
 
vipi wewe hutorokagi nyumbani?
je mama naye huwa anashiriki matoroko ?

Mtoroko wa one night mi hapana, kama natoroka ni mwezi mzima.....
mama anadanganywa, haiwezekani ajue sipo home mwezi nafata mgegedo!!!!!!!!!
 
tatizo mnaexpress km vile wote hapa ni watakatifu............... siwezi nikamuhukumu mwanamke kwa kutoroka kwao na kwenda kwa mpenzi wake ,,,,,mwisho wa siku tutakosa wa kuoa sasa.

he he he ncheke mie, kisa tu wako anatoroka kukufata, ndo unaona uibariki hii tabia!!!!!!!
 
Mimi ni mkaka mwenye miaka 27 nilikutana na mdada mwenye miaka 24 facebook tukaanza kuchat na hatimaye tukafikia uamuzi wa kua wapenzi. Aliniambia hakuna kwenye mahusiano kama nilivyokua mimi. Siku aliyokuja kwangu kulala alikuja kwenye saa tatu usiku, nikamuuliza leo imekuaje hadi amepata muda wa kuja kulala kwangu akaniambia baba yake amesafiri, nikamuuliza kuhusu mama yake akanambia nae ameenda kwa marafiki zake. Nikawa na swali linaumiza kichwa kua paka akitoka panya anajitawala? Tukiwa bado tunaendelea na maongezi ya hapa na pale mama yake akampigia simu kuwa amuandalie nguo kwa ajili ya kesho kazini, atazipitia saa kumi na mbili wakati anaenda kazini. Nikamuuliza kwa hiyo mama harudi nyumbani leo akanijibu ndio maana yake, hawezi kurudi kwa sababu baba hayupo. Ilibidi aondoke usiku huo huo maana alikua hana jinsi ya kulala wakati mama yake atapita mapema.

Je huyo anafaa kua mke maana toka nilivyojua tabia ya mama yake na yeye sihitaji hata kumuona. naomba mnishauri nifanyeje?

Sikubalian wafanyacho mama na mwanae lkn peleleza zaid kwa nin mama ake huwa anaenda kwa rafiki zake na kulala huko huko,ikibid akwambie ni wadizain gan nao wameolewa au!?Je baba ake anafaham hili?
Unaweza jump into conclusion kumbe haiko ivo hiz familia hz kila watu wanalife style yao!
Huo msemo upo km misemo mingne 2 lakin jaman ni kwan kila mtoto wa prof ni prof au inaapply kwenye mambo mabaya tu!
Tukumbuke hatuchagui wazaz,unawezajikuta umezaliwa na jambaz, ba maid,changudoa lkn ukaamua kuwa mtu mzuri tu kwan ht hao macd weng wazaz wao wanamaadil yote!
Suala la huyo mtoto kutoroka kulala na bf wazaz wakiwa hawapo wanafanya hata watoto wa wachungaji!
Hata Mungu anajua hilo ndo mana kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe.
Mapenz ajal haijalish mmekutana wap au mmekutanaje km ni mpango wa Mungu mtaoana tu.
Deal na mpnz wako yeye km yeye utamwacha huyo utakutana na mwingne mama yake mlemavu cjui napo utakimbia kuogopa atakuzalia watoto walemavu!
Vinginevyo hamna mapenz hapo na ushamega unataka kusepa!
 
Mkuu mara nyingi kuoa hatuangalii tabia ya muolewaji tuu bali pia tabia ya FAMILIA YA MUOLEWAJI.... Kama mzazi wa muolewaji ni "kichwa maji" na bado mtoto wake yuko proud inaonekana hiyo fmilia si toto si mama wote ni wahovyo...kifupi hakufai achana nae........
 
Mtoroko wa one night mi hapana, kama natoroka ni mwezi mzima.....
mama anadanganywa, haiwezekani ajue sipo home mwezi nafata mgegedo!!!!!!!!!

nilijua na wewe upo kwenye kundi la watakatifu wa jf......inatofauti gani sasa na kutoroka for one night ,hata huyo hapo juu hakutaka mamaye ajue.

he he he ncheke mie, kisa tu wako anatoroka kukufata, ndo unaona uibariki hii tabia!!!!!!!

sijaibariki hii tabia ,ila ninachojua wengi wameshaifanya na wanaifanya.
 
Najaribu kujiuliza kama na baba huko safarini anaruka ukuta pia
 
Mkuu wewe jimegee zako usepe sio pakuweka kambi hapo.Mapenzi hapo kwa huyo binti ni daladala mkuu
 
facebook! una mwita mkee! hasilimia kubwa ya mapenz ya fb ni ya uongo na ya kitoto
 
nilijua na wewe upo kwenye kundi la watakatifu wa jf......inatofauti gani sasa na kutoroka for one night ,hata huyo hapo juu hakutaka mamaye ajue.]

Hiyo one night imekaa kitoto sana asakuta same !!!!!!!
Watakatifu wana sifa gani? naeza kuwa mmoja wao afu sijijui......
 
Last edited by a moderator:
Maadili aliolelewa nayo yanamfanya nae aone hayo anyofanya mama yake ni sawa,,,
 
Nishasemaga na nasisitiza HAKUNA ALIE MSAFI
 
nilijua na wewe upo kwenye kundi la watakatifu wa jf......inatofauti gani sasa na kutoroka for one night ,hata huyo hapo juu hakutaka mamaye ajue.]

mwisho wa siku mwisho wake ni kwenda kugegedwa tu na kama saiv unasepa mwezi mzima basi kwa namna fulani ulishafanyaga na hii ya one night pia.

Hiyo one night imekaa kitoto sana asakuta same !!!!!!!
Watakatifu wana sifa gani? naeza kuwa mmoja wao afu sijijui......

Nishasemaga na nasisitiza HAKUNA ALIE MSAFI

ndiyo mimi nashangaa kutupia mawe watu wanachukulia poa tu au unapoint index finge wakati vidole vyote vinne vimekupoint wewe mwenyewe....waaaaahiiii!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom