Like father like son



Ha ha ha ha ha huyu jamaa mtata kweli kweli sijui siku hizi anafanya nini.
 
"Bagamoyo washikaji kwa mfuga ndege, limeshanichuna hili dem mapepe........ Maharage mama mboga ya matunda, nikiukumbuka ukimwi roho inadunda'' Kingwedu 2007
 
"Bagamoyo washikaji kwa mfuga ndege, limeshanichuna hili dem mapepe........ Maharage mama mboga ya matunda, nikiukumbuka ukimwi roho inadunda'' Kingwedu 2007

Ila kusema kweli fani ya kuimba ilimshinda
 
Kwa maisha yetu haya ya mjini unahitaji kujitoa hasa la sivyo watapata malezi yasiyostahili

Hapana yani najitoa kabisa for the sake of my children yani nawalea kwa kipindi kimoja then napumzika
 
Dah watoto wamefuatana hayo watakua wamepisha miezi hao

Kwahiyo jamaa alipandia mimba,? Kwamba hii ilipokuwa inakaribia kufikisha muda nyingine tayari ilikuwa ishatungwa? Hahahahahaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…