Nayakumbuka magari ya Liaz
Yalikuwa na nini...........?..
Anapatikana wapi huyu nataka kutumia mbinu za Albert Marwa
Magari ya kijeshi kama sikosei ni ya kichina au urusi hayana sura kabisa.
mbona unatokwa na povu mkuu?
Oooooh........asante kwa kuniokoa........huwa unaniokoa sana wewe...........
yapo kama Ashok......?.....