Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Santuario Madonna della Corona ni kanisa lililoko Kaskazini mwa Italia, Spiazzi mlima Baldo
Kanisa hilo liko mlimani hapo tangu mwaka 1530, lilikuwa likitumia na watawa walikuwa wanataka upweke ili kusali kwa tahajudi
Kwa sasa kanisa hilo linatumika na watu wote hata kwa wanaotalii au wanaofanya kama hija kutembelea Italia
Eneo hilo lina mambo mengi ya zamani ikiwemo mfano wa mzani ulitumika kumpima Yesu kabla hajasulubiwa