Unaona sasa! Ndo maana nachukia sana wanawake kuvaa mawigi. kama ni nywele ndefu au mtindo wa nywele si unafuga tu nywele original?
Wenge wanaiga tu lakini ukimuuliza kwa nini anavaa wigi badala ya kuonesha nywele zake anaanza kumwayamwaya tu. Kwa kifupi wanaoaa mawigi ni washamba tu