Lijue bara la Afrika kwa undani

Lijue bara la Afrika kwa undani

funny-africa-pictures.jpg
 
ziwa nyasa malawi , we mleta udhi kweli ujielewi ziwa nyasa tangu lini lipo malawi ...jiangalie wewe
 
ziwa nyasa malawi , we mleta udhi kweli ujielewi ziwa nyasa tangu lini lipo malawi ...jiangalie wewe
Kwa upande wa Malawi ni kwamba ziwa Nyassa linajulikana kama ziwa Malawi
 
ni bara ambalo kila matatizo yanalolikabili bara hili tunaamini wazungu ndo chanzo,yani hata kujenga vyoo vya shule hadi iwe kwa hisani ya umoja wa ulaya,na anae kwenda kuzindua vyoo hivyo anaweza kua rais au waziri mkuu.ni bara hata kutahiri watu wake tunaomba msadaa.rejea ile kampeni ya DONDOSHA MKONO WA SWETA.
 
Back
Top Bottom