Ligwaride linapomchosha Mke........

yaani huyo nikipewa mimi, wala sitasubiri kikao cha shangazi wala balaza la Walei.......
hicho ni kifo sasa....
mwulize Himidini hapa kuna kuombea tendo kweli? au hapa sala ya kuomba nguvu zipungue ndo itahusika?

^^
Naam hapa mafungo ya kuomba yanahusika...Kukosa self control namna hiyo ni hatari
Kuna kisa cha mwanamke mmoja aliamua kuachika baada ya mume wake kuulizwa Kwa nini hana kiasi? Yeye alijibu "wakati nasoma nilijibana sana,sasa nafidia nilichokosa nyuma"
FP mume angetanguliza maombi tena akaomba apunguziwe munkari,,mambo yangeenda vema
^^
 
Last edited by a moderator:
Hilo jamaa lina pepo la ngono, huyo mdada anafanywa na na mapepo kwa zamu na nadhani yako kama sabini hivi, aende awaone watumishi wa Mungu wamuombee, kama nauli anayo akamuone TB Joshua.
 
Nimecheka kwel ila nimekumbuka tukio moja
kuna kijana wa umri wangu huko kijijin alioa na akawa ndo zake gemu kila mda
yule dada alisema kwa mama mkwe wake na wakaitwa wamama wakubwa wakamwambia bint hiyo hal itapungu jins mnavyokaa kwa sasa ugen unamsumbua.
Ila cha kushangaza mziki uleule kila siku.
Yule dada kuona hivyo akatoroka na kurud kwao na kukataa katakata kurudi kwa mme wake
 
ebu njoo huku mtumishi Himidini
yaani huyo nikipewa mimi, wala sitasubiri kikao cha shangazi wala balaza la Walei.......
hicho ni kifo sasa....
mwulize Himidini hapa kuna kuombea tendo kweli? au hapa sala ya kuomba nguvu zipungue ndo itahusika?
 
Mwambie anachofanya siyo ushuja bali anajumiza mwenyewe maaana itafika wakati atajutia kwa haya anayoyafanya angejua kila tendo anatumia nguvu kiasi gani asingekuwa anafanya hivyo kila wakati.
 
Mmmmmmmh...dawa yake ni kumpa hata kabla hajadai rigwaride...kila saa anakuta mama yupo MGUUUUUU PANDEEE!! Atakoma ubishi mwenyewee...!!Ingekuwa mimi wa kike...mkewe yaani ningekuwa wala sioshi kinaniliii nakiacha kichafu atakinai mwenyweee!!!
 
Wengine wanaomba Mungu wasuguliwe na waume zao wengine wanaweka vikao vya kulalamika kusuguliwa...Sasa mimi nimebaki nashangaa hapaa....!!!Akiacha kusuguliwa ataleta kikao kingine anakua na agenda ya kudai asuguliwee...sasa tutamsaidiaje huyu ,..Naona nanilii itakuwa unawake motoo kudadadadadeedeki kinyamaa..!! na ndoa aliitaka mwenyewee..kwanza akawatambishia wenzake mtaani kwamba anaolewa zake... AMEYAVULIA MAJI NGUO HANABUDI KUYAOGA.!! Aje kwangu mara moja kwa mwezi lakini hiyo moja yenyewe atalala nje usiku kwenye upepo upulize nanilii!!!.
 
kikawaida tunaeza ita ugonjwa but im sure kiimani huyo mtu ana spirit of lust ambayo ni mpaka apate God's deliverence. anaweza hata kuja kubaka wanae kama haitashughulikiwa mapema.
Hicho ndicho kiwango cha mwanaume wa ukweli ndio mana wanawake ni wengi kuliko wanaume na ruksa ikatolewa kuoa hadi wanne
 
Huyo mwanaume atakua hamwandai mkewe ndo maana mke kapna kero


Hapo ndo umuhimu wa jando unapoonekana

Mwanaume akajifunze kufanya mapenzi na si kuparamia
 

Huyo labda atakuwa na pepo la ngono. Akaombewe ili mzuka upungue. Too much is harmful.
 
yaani huyo nikipewa mimi, wala sitasubiri kikao cha shangazi wala balaza la Walei.......
hicho ni kifo sasa....
mwulize Himidini hapa kuna kuombea tendo kweli? au hapa sala ya kuomba nguvu zipungue ndo itahusika?

Acha kufuru wewe,kuombea nguvu ipungue.. Acha mashara we. Ndo ndoa hiyo.
 
Last edited by a moderator:
too much of anything is hurmful..sasa starehe inapogeuka adhabu,dawa ni mbio tu
 
angalia usije ukakajikuta unakojoa damu
 
Hicho ndicho kiwango cha mwanaume wa ukweli ndio mana wanawake ni wengi kuliko wanaume na ruksa ikatolewa kuoa hadi wanne

kiwango wapi huku unamuumiza mwenzio? kulingana na imani yako inaruhusu wake wanne, ila imani yangu inasema kila jambo kwa kiasi na mke mmoja na mume mmoja, na kila mtu na awe na mke wake mwenyewe sio wake zake mwenyewe. ni pepo la ngono hilo kabisa kulingana na imani yangu . yani ni roho chafu ya kukemea kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…