Wewe utakuwa shakiki wa yanga !
[/QUOT
Kwani ukiwa shabiki wa simba ndounakua unabariki uozo unaofanywa na tff ktk mwenendo mzima wa ratiba na ligi kwa ujumla,tangu lini ulishawahi ona kitu kama hicho ulaya watu kama nyie ndo mnaokwamisha maendeleo ya soka bongo